Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Ndiyo wanavyoanzaga hivyo hivyo!....msaada kwenye tuta
oh no cupcake, i'm just trying to be helpful....
unajua masanilo hawezi kutema sumu na akijaribu kuongea watu humcheka kwa sababu ya lafudhi yake nzito ya kisukuma....lol
oh no cupcake, i'm just trying to be helpful....
unajua masanilo hawezi kutema sumu na akijaribu kuongea watu humcheka kwa sababu ya lafudhi yake nzito ya kisukuma....lol
Nataka nimsaidie ndugu yangu Masanilo....anataka demu bikira kwa sababu hajawahi kumbikiri demu yoyote. Mwenyewe eti anaona fahari kufanya hivyo....
Babha Nzee NN,
Kukaya ise kukabhagi chagulaga ibhega!! Kena ko lulu Ka Kelly01 kalebonekana kawiza sana na kasoga nnoo!!!
Babha Nzee NN,
Kukaya ise kukabhagi chagulaga ibhega!! Kena ko lulu Ka Kelly01 kalebonekana kawiza sana na kasoga nnoo!!!
"...Dada yangu, umekao-naga kale kakuku ka KIJANI????..."
Jamani, ndugu yangu Masanilo yeye anamwaga English na mtoto mwenyewe anajileta. Halafu kule kwetu ni CHAGULAGA tu mwanawane, yaani kwa Kisukuma tunasema "..Kula kwa Mbwa kuko miguuni.."
Kanike kasoga gete a ka Kelly01....neyo ka peee gete uguhaya ka chotara...
Cupcake translate please maana hapa kaniacha hoi since my name has been mentioned hahahahah!....
Masa anasema hivi: Kelly inaonekana ni msichana mzuri sana ....na mimi nikamjibu nikamwambia..yeah....yuko bomba kichizi....
Mzee kama bado kapo kapo na ni keupe basi nitafunga zizi la ukoo niswage ng'ombe hadi US, Kasomile kene ako angu?
Yes nimesoma Msamilo!...kumbuka najua a little bit of kisukuma cupkae ananifundisha hivyo...
Masa anasema hivi: Kelly inaonekana ni msichana mzuri sana ....na mimi nikamjibu nikamwambia..yeah....yuko bomba kichizi....
Mzee kama bado kapo kapo na ni keupe basi nitafunga zizi la ukoo niswage ng'ombe hadi US, Kasomile kene ako angu?
ya ya nkoi...kane akenako....kale off limits...
Haya bana....catch guyz latter am off
I think i really need to go Usukumani maana nitaachwa kwenye mataa i see it coming mweee!...
Bye enjoy your day@