Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kuroga ni sayansi inayowezesha maisha ya kila siku kuwa marahisi.......muulize cupcake wako gambushi ni nini?
mimi nina shamba langu nachukua watu 1000 wenye nguvu wanalima napata mazao......uoni nifaida hiyo?
Mchawi ni bora sana katika uchumi nyie ndio mnafanya mpaka teknolojia yetu tusiwagawie wengine.....
mfano usafiri.......ni usafiri gani usiokuwa na gharama na wa kasi kama wa mchawi ungo........unajua mwendo kasi wa ungo?
usije ukaniambia uchawi ni kula nyama za watu....kula nyama za watu ni tabia haipo katika katiba ya uchawi.....
nyie na vidini vyenu mmetuaharibia maisha....mmefanya yamekuwa magumu
hebu acha kumtisha cupcake bana...
sijalosti najua dada zenu hawana ghrama..matembele na makopa siku imepita......
Yoyo achana nao. Watakulisha Kihembe!!! Du, hili la MAKOPA sina mbavu. Ila ugali wa Makopa kwa Nswalu(lami) au Nsansa(Rasta) lilikolezwa tui la karanga mwenyewe utaiacha KFC.
ndo kazi ya pesa hiyo
,I am not kidding and i am positive kuwa if youa re willing to make thing work it will work...sema tamaa za dunia zimefanya watu wafikirie kuwa otherwse kama wewe unavyosema mbona a lot of our parents mpaka leo bado wapo na wana deal na wamama zetu hadi leo hii...thet still stand strong to each other...ila ukiweka na material stuff kwenye ndoa that is when itakapoanza kupinda na kufanya maporomoko na kutoelewana ndani ya nyumba....if you want to make things work ni trust and support...
Kama huamini nenda Kibondo au S'wanga......wazee wanatundika makoti ukutani na hamna misumali......
Unafahamu au uliwahi kusikia mtu katumiwa pembe?
Ulishafika ziwa tanganyika? kuna mji mzuri sana ziwani mule chini.......
Nani kakuambia kuroga ni ushetani?
The only thing first you need to do ni kumtanguliza mungu kwanza...Haya mambo ya ndoa yako so complicated kama hutamtanguliza mungu mbele...
yeah kelly ur right ma dear!!!wengi wanakurupuka,wengine wanagopa age kupanda bila ndoa,na mengine tu
Mama Mia...Ni kweli na nimeona mifano mingi ya wanawake wanaoona kuwa ok sasa age inakwenda na hana muelekeo kamili..matokeo yake ndiyo hayo unaolewa na mtu ambaye huna feelings naye and you end up cheating because sex is boring...
Hahahahaa Sikonge wanikumbusha mbali sana, nilipokuwa mdogo nilikuwa sipendi kabisa hiyo lami, siku hizi huwa naiagiza hadi huku nilipo!! Ingwa kuna siku jamaa airport waling'ang'ania ile mbaya....
Heheheeh Sex can be boring jamani.....that thing is cool, I can never get bored with it!!!
You are joking /not serious or may be not married or recently got married ma brother!
Heheheeh Sex can be boring jamani.....that thing is cool, I can never get bored with it!!!
Trust me Shem sex can be boring..and it depend and a person and also how you do it in everyday basis...
anyhoo overall sex is overated...
mmmhh shem nawe!! nadhani partner anaweza kubore!! ndo maana watu huenda sehemu nyingine kutafuta SEX, ingekuwa hivyo wasingetafuta tena maana ina bore....msalimu Ngosha Kugema NN