Kwanini watu wanacheat?

Status yangu ni none of the above!!!

Sijui kwa kweli kama sex inaweza bore, nakubali unaweza kuwa bored na partner lakini sex mmmmhhh acha utani bana......najua kuna couple hawaongei ila wanakulana mipini ile mbaya...

Twi!Twi!Twi!Twi!Twi!Twi!.......ndugu yangu Masanilo, wacha kunimaliza mbavu..naumwa leo mkuu! yaani unamaanisha hata wakipeana makonde....ile kitu hulika tu? so unataka pia kusema, hata uso ukifunikwa au mhusika akawa busy kufuma kitambaa....mambo yana kwenda tu! Masanilo, acha utani...ukijitahidi utaenda trip moja....then ukimaliza ngumi zinaanza, sio?
 
Kama mtu anataka kubadili chakula , amekinai maharage, its ok. Ila nafikiri itakuwa vizuri kuwa single na kubadili unavyotaka, kuliko kupotezeana mda. Maana kuna hatari zake, kama magonjwa, mapenzi kuhamia ulipotaka kupita tuu.
 
Mie nashangaa Waschana wa kuoa hata bikira wapo kibao..yet unakuta mtu anahangaika na mke wa mtu!

Maadili yako wapi?

...kukwepa majukumu, halipiwi chumba wala nyumba, yale mashaka ya kuambiwa "na mimba yako" hakuna, halafu mara nyingi utakuta mke ndio anayehonga...
 

Hapo uko sawa kabisa.. Kelly01, je walengwa wanaelewa hilo....!!
 
Hapo uko sawa kabisa.. Kelly01, je walengwa wanaelewa hilo....!!


wALENGWA waelewe wapi ndugu yangu! wagumu kama ukoma...me i think tupo kwenye ile generation ya sodoma na gomora.
 
Most men cheat becaus wake zao aidha wachafu,wakorofi,wanacheza kivivu kitandani,wanacheza wanapotaka wao,hawajui kupika,wanapika wanapotaka na mwisho wake zao hawawaonyeshi mapenzi ndani ya nyumba na wanajaribu kuwa waume kwa waume zao.

SAHIBA.
 
Most men cheat becaus wake zao aidha wachafu,wakorofi,wanacheza kivivu kitandani,wanacheza wanapotaka wao,hawajui kupika,wanapika wanapotaka na mwisho wake zao hawawaonyeshi mapenzi ndani ya nyumba na wanajaribu kuwa waume kwa waume zao.

SAHIBA.

...mungu wangu! I hope kina mama nao hawatataja sababu za ku cheat ni kama uloyataja hapo juu...kuongezea na ubahili, ulevi, nk...

Lame excuses...
 
Women cheat because:
+They are frustrated sexually or emotional yaani the relationship is no longer fulfilling.
+They are not getting any attention,love,tenderness and romance from their partners.
+They have low self esteem-they fear to leave unfulfilling relationships but really need a man(any man) to make them feel good about themselves.
+They lack self discipline and integrity.
+Adventure and rebellion-women know the consequences for them cheating is worse than for the guys -which also makes it more tempting and the challenge of not getting caught more thrilling.
+She meets a man she can not resist-as the saying goes the beautiful ones are not yet born.The same goes for the handsome and the smooth operators.
+Their men wamjiwachilia-they have a potbelly and dont shower/brush before going to bed.Yet out there there-like at work- are so many really well groomed and physically fit jamaas with six packs and smooth clear skin who wear the best colognes and always smell great.
 
Masanilo/ Kelly/ Cupkae

Mmmenichekesha sana hasa unazungumzia mambo ua USUKUMANI GEKE, MATOBOLWA a.k.a Big G za usukumani ha ha ha ha .

Ngwala zilikuwa zinapigwa Kwenye MAJALUBA ya Mpunga...................jamani haya mambo hakuna siku hizi
 
Haya..Kelly, Massanilona NN rudini kwenye topic LOL

"kwa nini watu wanacheat"?
 
Kinachotokea MMU nowadays ni recycling tu! Hakuna jipya.
 

Hahahaaaaa hiyo ndo old school JF bana!
 
utaften kwanza ufalme wa mbinguni na haki yake na mengine yote mtazidishiwa, otherwise human total utility is just a dream.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…