Kwanini watu wanacheat.,!?

alexmahone

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2011
Posts
482
Reaction score
406
Umeshawahi kumcheat mwenza wako..? unadhani alikosea wapi mpk ukafikia uamuzi huo..!?
 
hakuna kingine zaidi ya tamaa tu.
 
Umeshawahi kumcheat mwenza wako..? unadhani alikosea wapi mpk ukafikia uamuzi huo..!?
wote humu jf tushawahi,maana ku cheat ni kuwa na mahusiano zaidi ya mwenzo iwe kwa mawazo,maneno au matendo.
 
wote humu jf tushawahi,maana ku cheat ni kuwa na mahusiano zaidi ya mwenzo iwe kwa mawazo,maneno au matendo.

Lol lol........na kwa mawazo pia,duuuuuh basi balaaaa
 
hakuna kingine zaidi ya tamaa tu.

Huwezi kuamini kuna watu wanaanzisha uhusiano kupitia mitandao ya kijamii kama fb,twitter,jf nk .,hali ya kuwa wanawapenzi wao ambao wanawajua tabia.,wamezoeana na ni rahisi kukosoana.
 
Suala la kutoridhika faragha huwa siliafiki kwakuwa,waweza kumfanya mwenza wako kuwa vile unavyopenda ww..,
Halafu una uhakika gani kama yule unaemu'approach' atakuwa mzuri kitandani kuliko yule ulienae..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…