mtoto wa mfugaj
Senior Member
- Jul 18, 2011
- 136
- 29
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzoefu unaonyesha watu wengi hufumba macho wakati wa kupiga denda na wakati wa kubusiana,kama unabisha jaribu kupiga busu uone kama hautafumba macho,swala ni kwanini naombeni majibu
Kuna makauzu zaidi ya dagaa macho kodo
<br />an interesting question anyway.............................<br />
lakini huku kufumba macho ni kwa jinsia zote au vipi?nadhani akina dada ndo huwatokea sana hii................<br />
tuendelee kusikiliza........
an interesting question anyway.............................
lakini huku kufumba macho ni kwa jinsia zote au vipi?nadhani akina dada ndo huwatokea sana hii................
tuendelee kusikiliza........