Kwanini watu wanafumba macho wakati wa kubusiana?

Its natural, wanasema "never trust a woman whom when you kiss does not close her eyes''
 
Inaleta hisia zaidi na kufanya stimulation zaidi
 
...........kiasili denda inabidi liliwe gizani sasa kufumba macho ni kujaribu kutengeneza giza
 
mmmmh actually hisia ndo zinazosababisha aisee sijawahi ona mtu anafumbua macho anga zile.it was so nice jaman
cause huwa unajikuta tu unafumba macho dah ni noumer
 
because the most beatiful things in the word can not be seen by naked eyes.
 
Fumba macho nikupige sachi mifukon vizur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…