Kwanini watu wanakataa Clam Vevo sio Bilionea?

Simaanish kuwa mi ni hater lakin kwa hali ya kawaida tu, 6B kwa mwaka sio kirahis namna hiyo kuitoa Youtube
 
Yaan hivyo vitraffic tena vya nchi maskini kama Tanzania vinakuchanganya? Huyo Clam hata dola elf 10 kwa mwezi hafikishi, alafu unadhani hizo video zinapanda zenyewe tu youtube? Cost zake za uzalishaji unazijua?
Youtube kuna hela ila sio kwa ujinga mnaomezeshana hapa.
 
YouTube hawatoi hela kipumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…