Biblia inasema samehe saba mara 70, fanya kumsamehe huyo mtoto wa watuUnakuta mtu ana cheat hadi inakuwa hadharani yanamuendea vibaya unajua anaomba samahani na anakutaka usamehe uendelee kumchekea na kumfurahia kama zamani
Yani kirahisi tu na huenda unalaumiwa kwa "kutokusamehe"
Wakati mwingine ni rahisi kuhama kutoka yanga kwenda Simba kuliko kusamehe
Huwezi amini hii imetokea hapa jirani na mi ni mtu wa kati Sasa aliyekuwa anacheat anaona ni kama jamaa kutokuwa kama "zamani"ni mtu wa ajabu maana ameshaomba msamahaBiblia inasema samehe saba mara 70, fanya kumsamehe huyo mtoto wa watu
Ampe muda kwanza jamaa kusalitiwa kunauma sana asikwambie mtuHuwezi amini hii imetokea hapa jirani na mi ni mtu wa kati Sasa aliyekuwa anacheat anaona ni kama jamaa kutokuwa kama "zamani"ni mtu wa ajabu maana ameshaomba msamaha
Hakika, kusamehe kosa la kucheatiwa inahitaji process wa kutafakari kwa kinaNa mi huo ndio ushauri wangu maana ilikuwa wazi kabisa nikasema "mpe mda"so long as naona mnaongea bila shida na jamaa ni "good boy"huenda atakuwa sawa
Kuua hapana!ila kama mtu atavuka mipaka kutaka kukudhuru au kudhuru familia jilindeAu mtu anakutendea ovu kwa maksudi kabisa akitegemea nitarudi niombe msamaha yataisha.... singlemoms mnachukuliwa poa sana kwa sababu ya kusamehesamehe....Kuna muda kumuua aliyekuumiza si dhambi kabisa....pepo yako
Sawa mkuu, asante sanaKuua hapana!ila kama mtu atavuka mipaka kutaka kukudhuru au kudhuru familia jilinde
Ni kweli maana sababu ya mwanamke kuachana na huyo secret lover wake ni baada ya huyo jamaa kucheat akagundua kwenye purukushani ndio jamaa akaipata story 🙌🙌🙌🙌ila dunia imekuwa uwanja wa fujo sanaHakika, kusamehe kosa la kucheatiwa inahitaji process wa kutafakari kwa kina
Hatari sana aiseeNi kweli maana sababu ya mwanamke kuachana na huyo secret lover wake ni baada ya huyo jamaa kucheat akagundua kwenye purukushani ndio jamaa akaipata story 🙌🙌🙌🙌ila dunia imekuwa uwanja wa fujo sana
"Kumuua aliye kuumiza si dhambi kabisa"Au mtu anakutendea ovu kwa maksudi kabisa akitegemea nitarudi niombe msamaha yataisha.... singlemoms mnachukuliwa poa sana kwa sababu ya kusamehesamehe....Kuna muda kumuua aliyekuumiza si dhambi kabisa....pepo yako
Hakika mkuu, sema kucheat kunaepukika kabisaKwa upande wa mwanaume nimemwambia ajipange maana hana mtu kwa hiyo awe na exit plan taratibu ila asiendelee maana hakuna mtu hapo
Hakika, maana no way out 🤒"Kumuua aliye kuumiza si dhambi kabisa"
Huu mstari naomba uwekwe lamination, kuna kiumbe nitamuua kwa mikono yangu mwenyewe, hata pachelewe. Nilishaapa kabisa.
Haswaa.Hakika, maana no way out 🤒
Wee hayajakufika, unadhani watu wanajiua wao wenyewe inakuaje? Subiri yakukute kwan ndo utajua hujui.Kuua hapana!ila kama mtu atavuka mipaka kutaka kukudhuru au kudhuru familia jilinde
Com on you Cocastic"Kumuua aliye kuumiza si dhambi kabisa"
Huu mstari naomba uwekwe lamination, kuna kiumbe nitamuua kwa mikono yangu mwenyewe, hata pachelewe. Nilishaapa kabisa.