Kwanini watu wanao-cheat wanataka kusamehewa kirahisi tu?

Au mtu anakutendea ovu kwa maksudi kabisa akitegemea nitarudi niombe msamaha yataisha.... singlemoms mnachukuliwa poa sana kwa sababu ya kusamehesamehe....Kuna muda kumuua aliyekuumiza si dhambi kabisa....pepo yako
Niue akili inikae sawa...
 

Hakuna kusameheana kwa dhambi ya usaliti.

Mtasameheana kwa ajili ya kulea familia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…