mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 955
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali imethibitishwa maana nilikuwa najibana sana,mpaka nile timing kwenye makelele ya watu ndio nilikuwa naachia,lakini kuanzia sasa kwa raha zangu...Kama kukohoa tunakohoa,kama chafya tunapiga,kama makamasi tunapenga hadharani.sasa wanasayansi wamethibitisha kujamba kunapunguza saratani na shambulio la moyo.kwa hiyo JIJAMBIE KWA AFYA RAFIKI
iyo kweli wenyewe ndo wanaongozaKuna watu usiku wakilala wanaachia hasa mademu