Kwanini watu wanaokoroma wabishi sana?

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,663
Reaction score
7,785
Ukiwaambia wewe unakoroma" unaweza hata kugombana nao sijui kwa nini?
 
awali ya yote hakuna mtu anapenda kukoroma na ikitokea kaambiwa wewe unakoroma haamini na hakubali ni kwa sababu anadai hajajisikia ila mtu akikoroa huwa si rahisi ajue maana anakuwa kashalala,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…