KWANINI WATU WANAOVAA MIWANI WANACHUKULIWA HIVI!?

KWANINI WATU WANAOVAA MIWANI WANACHUKULIWA HIVI!?

Bushmaster

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2022
Posts
583
Reaction score
1,265
Jaman mtambue kua kuvaa miwani ni tiba kama tiba nyingine,ni kama wale wanaovaa hearing aids kuwasaidia kusikia vzuri

Lakini ni kama automatically kuvaa miwani mme connect na akili au IQ na hii niliiona tangu nasoma

Sisi ni watu wa kawaida kama nyie tu,tunapata shida sana huko kwenye interview,tunakomoana maswali mnayoulizwa ni magumu mno hata huko chuo kuna course tulifel tukarudia kwahyo msituone super intelligent

Mpaka mda mwingine nawaza hii course nilioyosoma sikumaliza? mbona graduation nilifanya? Maana unakuta naelezea concept aibu anapata anaeniinterview au mda mwingine waliopembeni wananikonyeza nisiendelee kuzungumzia,acheni nizungumze mpate concept.

Msitufanyie hivyo haya maisha tu
 
Nje ya mada:kuna mmoja aliniambia nina kichwa kidogo lakini akili kubwa.Sasa sijui ukiwa na kichwa kikubwa ndiyo unapaswa kuwa na akili nyingi?
 
ukiona hakimu anashusha miwani mpaka mwisho wa pua alafu anakuangalia kupitia uwazi wa juu ya miwani,my friend umeisha hapo anakupiga mvua tu akuna namna[emoji23][emoji28]
 
Back
Top Bottom