Nzowa Godat
JF-Expert Member
- Jun 15, 2011
- 2,785
- 821
Jamani, hivi kwa nini watu wengi hasa vijana hawapendi kuvaa nguo za ndani ya nchi. Watu wengi wanapenda mitumba hadi sindiria, chup.i, sox, gloves, kofia, n.k. Ni wanakwaya za dini tu ndiyo wanavaa suruali za hapa hapa.

umeonaeeWatu mnambinu za kulazimisha watu wafungue thread zenu khaa..
Watu mnambinu za kulazimisha watu wafungue thread zenu khaa..
Jamani, hivi kwa nini watu wengi hasa vijana hawapendi kuvaa nguo za ndani ya nchi. Watu wengi wanapenda mitumba hadi sindiria, chup.i, sox, gloves, kofia, n.k. Ni wanakwaya za dini tu ndiyo wanavaa suruali za hapa hapa.
Zamani nguo za ndani (ch...p) zilikuwa zinafunika makalio yoote na kuwa kama bukta fulani hivi....muda unavyokwenda...sasa makalio yanaziba kabisa hiyo nguo ndoogo sana ya ndani inaingia ndani na inafichw ahukoo ndani kuipata lazima ufungue humo ndani kama unafungua kitabu!!!