Kwanini Watu wavivu, CHAWA na Mafisadi wanamchukia sana Tundu Lisu kama walivyomchukia Shujaa Magufuli ?

Kwanini Watu wavivu, CHAWA na Mafisadi wanamchukia sana Tundu Lisu kama walivyomchukia Shujaa Magufuli ?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Najiuliza tu kwanini wafuasi wa Chadema waliokuwa wanamchukia Shujaa Magufuli ndio hao hao Leo wanamchukia mno Tundu Antipas Lisu

Akina Maranja, Yeriko na Boni Yai wakiongoza

Sijajua tatizo ni nini!!!

Ahsanteni sana 😄
 
Chawa mdudu akiwa kwa binadamu ananufaika kwa kupata chakula na malazi (food and shelter).

Na chawa mtu huwa anapata manufaa ya fedha na vyeo.
 
Wee vipi? Utamlinganishaje Lisu na Magufuli? Magufuli level nyingine anapendwa hadi kesho!
 
Wee vipi? Utamlinganishaje Lisu na Magufuli? Magufuli level nyingine anapendwa hadi kesho!
Pale sadist anapotumia brainwashing kujifanya ni mwema huku akibomoa mifumo na kujenga legacy yake, anaitwa shujaa na akili ndogo wasioweza ku-analyse mambo.
 
Back
Top Bottom