J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Dec 16, 2024 #1 Najiuliza tu kwanini wafuasi wa Chadema waliokuwa wanamchukia Shujaa Magufuli ndio hao hao Leo wanamchukia mno Tundu Antipas Lisu Akina Maranja, Yeriko na Boni Yai wakiongoza Sijajua tatizo ni nini!!! Ahsanteni sana 😄
Najiuliza tu kwanini wafuasi wa Chadema waliokuwa wanamchukia Shujaa Magufuli ndio hao hao Leo wanamchukia mno Tundu Antipas Lisu Akina Maranja, Yeriko na Boni Yai wakiongoza Sijajua tatizo ni nini!!! Ahsanteni sana 😄
Davidson david JF-Expert Member Joined Jul 26, 2023 Posts 1,029 Reaction score 1,051 Dec 16, 2024 #2 Ccm only ndio wanao mchukia
Bezecky JF-Expert Member Joined Apr 28, 2024 Posts 494 Reaction score 897 Dec 16, 2024 #3 Hao wote ni vijana wa mfumo
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 23,683 Reaction score 55,898 Dec 16, 2024 #4 Chawa mdudu akiwa kwa binadamu ananufaika kwa kupata chakula na malazi (food and shelter). Na chawa mtu huwa anapata manufaa ya fedha na vyeo.
Chawa mdudu akiwa kwa binadamu ananufaika kwa kupata chakula na malazi (food and shelter). Na chawa mtu huwa anapata manufaa ya fedha na vyeo.
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Dec 16, 2024 #5 Bezecky said: Hao wote ni vijana wa mfumo Click to expand... Mfumo Dume?!
Morning_star JF-Expert Member Joined Apr 21, 2018 Posts 6,042 Reaction score 17,320 Dec 17, 2024 #6 Wee vipi? Utamlinganishaje Lisu na Magufuli? Magufuli level nyingine anapendwa hadi kesho!
Bhikalamba JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 1,916 Reaction score 2,756 Feb 13, 2025 #7 Morning_star said: Wee vipi? Utamlinganishaje Lisu na Magufuli? Magufuli level nyingine anapendwa hadi kesho! Click to expand... Pale sadist anapotumia brainwashing kujifanya ni mwema huku akibomoa mifumo na kujenga legacy yake, anaitwa shujaa na akili ndogo wasioweza ku-analyse mambo.
Morning_star said: Wee vipi? Utamlinganishaje Lisu na Magufuli? Magufuli level nyingine anapendwa hadi kesho! Click to expand... Pale sadist anapotumia brainwashing kujifanya ni mwema huku akibomoa mifumo na kujenga legacy yake, anaitwa shujaa na akili ndogo wasioweza ku-analyse mambo.