Kwanini watu wengi hawatumii majina yao Social Media?

Kwanini watu wengi hawatumii majina yao Social Media?

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,846
Kwanini watu wengi hawatumii majina yao halisi katika mitandao ya kijamii na picha za profile pia sio za kwao?
 
Wewe hujasikia wasiojulikana??--- nani asiyependa kuishi ajianike wazi ili asiwe huru kutoa maoni yake na hatimaye akamatwe??!!.

Mbona hata wewe hilo jina sio lako, mbona hujiulizi?🤣
 
Wewe hujasikia wasiojulikana??--- nani asiyependa kuishi ajianike wazi ili asiwe huru kutoa maoni yake na hatimaye akamatwe??!!.

Mbona hata wewe hilo jina sio lako, mbona hujiulizi???!![emoji1787]
Ndo jina langu naitwa Frank Zagarino
 
Kutwa unaenda chooni malangapi mtoa mada.
 
Kwanini watu wengi hawatumii majina yao halisi katika mitandao ya kijamii na picha za profile pia sio za kwao ??

Yakiwapata Makubwa ya Kuwatoa Uhai wao au kuyaanza Maisha yao Gerezani utakuwa tayari Kuzihudumia Familia zao zitakazobakia huku nyuma?
 
Back
Top Bottom