zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,846
Ndo jina langu naitwa Frank ZagarinoWewe hujasikia wasiojulikana??--- nani asiyependa kuishi ajianike wazi ili asiwe huru kutoa maoni yake na hatimaye akamatwe??!!.
Mbona hata wewe hilo jina sio lako, mbona hujiulizi???!![emoji1787]
Ndo jina langu naitwa Frank Zagarino
Duh! huwa sihesabuKutwa unaenda chooni malangapi mtoa mada.
Kwanini watu wengi hawatumii majina yao halisi katika mitandao ya kijamii na picha za profile pia sio za kwao ??