12345609 New Member Joined Jan 30, 2024 Posts 4 Reaction score 2 Mar 5, 2024 #1 Kuna umri maalum wa kuangalia katuni? Kwanini watu wengi wanakosoa wakikutana kijana akiangalia katuni?
Kuna umri maalum wa kuangalia katuni? Kwanini watu wengi wanakosoa wakikutana kijana akiangalia katuni?
Melki Wamatukio JF-Expert Member Joined May 3, 2022 Posts 6,156 Reaction score 10,974 Mar 6, 2024 #2 Wanaokushangaa ukiangalia katuni ni vijana waliojawa na uoga wa maisha
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,009 Reaction score 60,629 Mar 6, 2024 #3 Baadhi ya vitu haupaswi kuvitilia maanani. Kuna watu hujidai wao ni akili kubwa kwasababu hawafanyi a au b, ila ni akili ndogo tu!
Baadhi ya vitu haupaswi kuvitilia maanani. Kuna watu hujidai wao ni akili kubwa kwasababu hawafanyi a au b, ila ni akili ndogo tu!