Kumekua na wimbi kubwa la malalamiko ya watu kwa marafiki, ndugu hata wapenzi ambao vipato vyao ni vidogo au vya Kati ; kunyanyasana, kuchukuliana kawaida , kupotezeana mpaka kufikia kuvunjiana heshima nk.
Lakini linapokuja swala la watu kipato Cha chini kuwa kalibu na watu wa kipato Cha juu uwezi amini tabia zao huwa ; wapole, wasikivu, wanajali Sana kupita kawaida mpaka unaweza omba mungu akupe mwengine Kama yeye.
Ila ukikutana xna wanaowajua kiundani mpaka mahali wanapoishi hutaamini sifa zao kuwa wanazalau.
KWA KWELI NINGEPENDA KUJUA HIKI KITU KINASABABISHWA NA NINI?