Kwanini watu wenye, maambukizi ya VVU huwa hivi?

Kwanini watu wenye, maambukizi ya VVU huwa hivi?

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Wana jamvi siyo kusudio langu kumgusa mtu yeyote,ila naomba kujua ni sababu gani mtu akiwa katika hali hiyo huwa na hasira sana, na kwa wanandoa ndio huwa hawaishi migogoro?
 
wana jamvi siyo kusudio langu kumgusa mtu yeyote,ila naomba kujua ni sababu gani mtu akiwa ktk hali hiyo huwa na hasira sana,na kwa wanandoa ndio huwa hawaishi migogoro?

Ngoja wenye majibu waje, watakueleza,
No research no right to speak
 
wana jamvi siyo kusudio langu kumgusa mtu yeyote,ila naomba kujua ni sababu gani mtu akiwa ktk hali hiyo huwa na hasira sana,na kwa wanandoa ndio huwa hawaishi migogoro?

Ni watu waliokosa matumaini alafu kwa watu wenye ndoa wanachukiana coz mmojawapo kamuua mwenzake.
 
Hii elimu bado sana sijui tufanyaje ili itufikie na tuielewe vizuri na tukiielewa tu vema ujue hakuna maambukizi mapya tena ila kama tutaendelea na uzuzu huu maambukizi hayataisha milele daima.
 
Sasa umeleta ukimwi ndani,mwenzio akuchekee tuu??
Ukimwi ni msala mkubwa sana.
 
wana jamvi siyo kusudio langu kumgusa mtu yeyote,ila naomba kujua ni sababu gani mtu akiwa ktk hali hiyo huwa na hasira sana,na kwa wanandoa ndio huwa hawaishi migogoro?

Endelea Kutumia Dawa zalo Usiache Mkuuu.
 
Mkuu hupo sahihi kabisa mi nadhani hiyo ya kupoteza matumain ndo inachangia waadhirika kuwa na hasira mara kwa mara nilishaajiriwa katika kampuni binafsi moja hapa jijin Dar bosi wangu inavyosemekana ameadhirika kwa kweli alikuwa mkorofi sana kwa wafanyakaz wake jazba zisizokuwa na msingi wowote kwa kweli nilishindwa kuendelea nae nikaacha kaz na kupata kwingine
 
mbona sasa Dr Fadhili Paulo maelezo ya tiba umeyafunika sasa, hata ukibonyeza like hayafunguki?

Yanafunguka mkuu, ukishalike kama ulipelekwa ukurasa mwingine basi rudi tu ukurasa wenye Maelezo kwa mara ya pili na hii inatokea kama unatumia simu lakini ukitumia PC haisumbuwi kabisa, hata hivyo naendelea kui-edit
 
Last edited by a moderator:
Nadhani wanakua na msongo wa mawazo sana, kisaikolojia wanakuwa wameathirika kiasi fulani...
 
Yanafunguka mkuu, ukishalike kama ulipelekwa ukurasa mwingine basi rudi tu ukurasa wenye Maelezo kwa mara ya pili na hii inatokea kama unatumia simu lakini ukitumia PC haisumbuwi kabisa, hata hivyo naendelea kui-edit

vipi kama uki like kwenye sim ukiingia kwenye computer inatakiwa u like tena?
 
Back
Top Bottom