wana jamvi siyo kusudio langu kumgusa mtu yeyote,ila naomba kujua ni sababu gani mtu akiwa ktk hali hiyo huwa na hasira sana,na kwa wanandoa ndio huwa hawaishi migogoro?
wana jamvi siyo kusudio langu kumgusa mtu yeyote,ila naomba kujua ni sababu gani mtu akiwa ktk hali hiyo huwa na hasira sana,na kwa wanandoa ndio huwa hawaishi migogoro?
Ni watu waliokosa matumaini alafu kwa watu wenye ndoa wanachukiana coz mmojawapo kamuua mwenzake.
wana jamvi siyo kusudio langu kumgusa mtu yeyote,ila naomba kujua ni sababu gani mtu akiwa ktk hali hiyo huwa na hasira sana,na kwa wanandoa ndio huwa hawaishi migogoro?
Endelea utumia Dawa zalo Usiache Mkuuu.[/QUOTE
ina maana huyu jamaa ni mwadhilika?
Exactly,pengine kila mtu anakuwa anamtuhumu mwenzake kwamba ndo kamuambukiza
Endelea Kutumia Dawa zalo Usiache Mkuuu.
ACha vituko, hayo maelezo mareeeefu, dawa UKIMWI ipo wapi? acha utani kijana watu wanaumwa aseee!!
mbona sasa Dr Fadhili Paulo maelezo ya tiba umeyafunika sasa, hata ukibonyeza like hayafunguki?Mbona dawa ya UKIMWI ipo au nyie hamjasikia? kwa anayeitaka abonyeze hapa.
mbona sasa Dr Fadhili Paulo maelezo ya tiba umeyafunika sasa, hata ukibonyeza like hayafunguki?
Ni watu waliokosa matumaini alafu kwa watu wenye ndoa wanachukiana coz mmojawapo kamuua mwenzake.
Sasa umeleta ukimwi ndani,mwenzio akuchekee tuu??
Ukimwi ni msala mkubwa sana.
Yanafunguka mkuu, ukishalike kama ulipelekwa ukurasa mwingine basi rudi tu ukurasa wenye Maelezo kwa mara ya pili na hii inatokea kama unatumia simu lakini ukitumia PC haisumbuwi kabisa, hata hivyo naendelea kui-edit