DeMostAdmired
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,579
- 3,798
Hiii!
Kuna siku nilipanda bajaji from town kwenda home. Kutoka kituo nilichopandia abiria tulipanda ile Bajaj tulikuwa watu mimi na mama mmoja akiwa na mtoto wake mdogo range kama 2-3 years.
Kwa uelekeo tulokuwa tunaenda na jinsi nilivyomsoma yule mama ni kama alikuwa anampeleka chalii hosii ni kama alikuwa mgonjwa.
Sasa njiani tukakutana na wadada wawili foreigners I am not sure ni race gani wale wadada ila ni weupe (white people).
Wale wadada walipanda ile Bajaj bila kusema wanaenda wap ila walipanda kwasababu waliona inaelekeza uelekeo ambao na wao wanaelekea. Sasa tukafika sehemu ambapo njia inagawanyika kulia na kulia.
Mimi na yule mama uelekeo wetu ulikuwa ni kulia ila wale foreigners walikuwa wanaelekea kushoto.
Mita chache kabla ya kuifikia zile Kona wale wadada wakamwambia davoo kwamba wanaelekea kushoto. Dereva ikabidi asimamishe chombo.
Alivofala akatuambia sisi tushuke tutafute usafiri mwingine au tuvumilie awapeleke wale wadada wanakoenda ndo nasisi atupeleke tunakoenda.
Nilipatwa na hasira sana ila nikaona nikipanik sitatatua tatizo, punde yule mama akasema kwamba anamuwahisha mtoto hosii na ukizingatia sisi ndiyo tulianza kuingia katika Bajaj so alipaswa atupe kipaumbele sis over wale wazungu.
Wale wazungu wanakielewa kiswahili kwa kuibia ibia plus namimi nafahamu kimombo nikawaeleza pale wakashangaa sana kwanini yule dereva kaamua ujinga kama ule.
Hapa niligundua wenzetu wanajali sana na hawapendi kuona mtu anaonewa kijinga jinga.
Wale wadada walimwambia yule mama ashuke wakamchukulia boda akamkimbiza hosii chap, mimi wakanambia nichukue boda pia ila nikawambia haina shida (sikutaka kuonesha unyonge).
Na wao wakaita boda wawili wakasepa zao walikokua wanaenda. Hiki kitendo walikuwa wanakifanya wakiwa wanamfokea yule Dereva wa Bajaj. Sasa pale tukabak mimi na davoo, namimi muda huo nilikuwa na hasira sana na mshikaji nikamwambia sikupi hata mia kwasababu hujanifikisha ninakokwenda na tayari ushanichelewesha kwahyo nauli nilonayo nitaitumia kupanda boda niwahi.
Tukawa tumemtosa jamaa kihivyo kwasababu ya ujinga na ushamba wake.