Kwanini watu weusi (Wabantu) tulichelewa sana kutumia bunduki, na kwanini hatukutumia farasi?

Tuliamini uchawi una nguvu kuliko risasi, rejea kisa cha Vita ya Majimaji
Watu weusi walikuwa wajinga sana tangu zamani, ndio mana tulifanywa watumwa tukatawaliwa
 
KWA SABABU KULIKUA HAKUNA HAJA YA KUTUMIA BUNDUKI. TULIKUA TUNA UTAJIRI WA VYAKULA NA ARHI. HALI YA HEWA SAFI NA KADHARIKA. SO KWANN UUMIZE KICHWA KUVUMBUA KITU AMBACHO HAKINA ULAZIMA. WALIKUA HAWATAFUTI CREDIT KWA MTU. WALIKUA NA MAISHA YAO MAZURI. AT THE SAME TIME EUROPEAN WALIKUA NA BARIDI KALI, UKAME NA ARDHI KUBWA ILIKUA NI BARAFU, ARDHI YENYE RUTUBA ILIKUA NDOGO ILIYO PELEKEA WATU KUGOMBANA WENYEWE KWA WENYEWE VITA VYA MIAKA 1000, KWA HIYO LOGICALLY IT MAKE SENSE KWAMBA KWA SABABU WAZUNGU WALIPITIA SHURUBA ZA ROHO MBAYA, UKATILI NA VITA VYA MDA MREFU NDO MAANA WALI LEARN VITU VINGI SANA ILI KUWEZA KU SURVIVE. ILA AFRIKA KULIKUA NI BUSTANI YA EDEN HATA VITA HAVIKUA VIKALI SANA, VITA VYA AFRIKA VILIKUA NI KWA AJILI YA KUONESHANA UBABE NA SIO KUGOMBANIA MALI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…