Pre GE2025 Kwanini Watu Wote wanaochangia maoni miswada ya sheria za Uchaguzi wanadai Uchaguzi wa 2020 haukuwa halali? Wabunge Wanajisikiaje waingiapo Ibadani?

Pre GE2025 Kwanini Watu Wote wanaochangia maoni miswada ya sheria za Uchaguzi wanadai Uchaguzi wa 2020 haukuwa halali? Wabunge Wanajisikiaje waingiapo Ibadani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kila mchangiaji anayetaka Wakurugenzi wa Halmashauri wasiwe Wasimamizi wa Uchaguzi mkuu anatolea mfano Uchaguzi wa mwaka 2020 Kwamba haukuwa Huru na Haki

Tena wanadai Wabunge Wengi walitangazwa Washindi kinyume cha taratibu, kanuni na sheria

Mimi nijuavyo kuanzia 1995 Wabunge Wengi tu walikuwa wanashinda isivyo halali na walitangazwa kwa maguvu tu

Sasa iweje wachangiaji Washupalie 2020?

Halafu na hawa Wabunge wa Mchongo Misikitini na Makanisani wanapokelewa kweli? Na sadaka zao zinafika Mbinguni kwa Mungu mwenyewe?

Nawatakia Sabato Njema 😄
 
"Dunia ni Mbuga na sisi ni wanyama, ukiwa mnyonge hufiki mbali.

Sisi tulishazoea na Maisha yanasonga tu tuendeleze ligi ukiibiwa iba ila wote msikakatwe"

-Alisema Mkuu wa Shule akiwakaribisha kidato cha 5.
 
Back
Top Bottom