N Niambie Tu JF-Expert Member Joined May 29, 2022 Posts 280 Reaction score 727 Sep 19, 2026 #1 Nimeona kuna idadi kubwa sana ya watumishi wa umma wanbet. Nini kimetokea wakuu?
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 42,525 Reaction score 74,605 Sep 19, 2026 #2 Niambie Tu said: Nimeona kuna idadi kubwa sana ya watumishi wa umma wanbet. Nini kimetokea wakuu? Click to expand... Gambling is a game/ sport, Acha watu waburudike
Niambie Tu said: Nimeona kuna idadi kubwa sana ya watumishi wa umma wanbet. Nini kimetokea wakuu? Click to expand... Gambling is a game/ sport, Acha watu waburudike
E Extroverted Introvert JF-Expert Member Joined Aug 18, 2022 Posts 1,145 Reaction score 2,937 Sep 19, 2026 #3 Umeona wapi? Uliowaona ni wangapi? Kutoka taasisi zipi? na ngapi?
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,814 Reaction score 47,414 Sep 19, 2026 #4 Njaa kali
Isenye JF-Expert Member Joined Dec 22, 2024 Posts 1,985 Reaction score 5,167 Sep 19, 2026 #5 Hasa walimu
Strong JF-Expert Member Joined Jun 9, 2013 Posts 584 Reaction score 560 Sep 19, 2026 #6 Mbona mm naona wamepungua ww kuna kipindi wamebet sana maaskari,manesi,walimu,watendaji kwa sasa angalau
Mbona mm naona wamepungua ww kuna kipindi wamebet sana maaskari,manesi,walimu,watendaji kwa sasa angalau
Archnemesis 2-0 JF-Expert Member Joined Aug 25, 2024 Posts 1,564 Reaction score 3,279 Sep 19, 2026 #7 Mbombo ngafu, ngoma ngumu, wakubwa wanauza mavisiwa huko.. ni kazeze
Karne JF-Expert Member Joined Jun 13, 2016 Posts 11,394 Reaction score 21,391 Sep 19, 2026 #8 Ndiyo sababu iliyofanya mbunge Kishimba aishauri serikali iingize kamari kwenye syllabus watoto wafundishwe kusuka mikeka!😀 Kukosekana kwa elimu rasmi kunapelekea wengi kuishia kupunwa na kutajirisha watu tu. Mtu hasomi hata T&C keshaweka mzigo!
Ndiyo sababu iliyofanya mbunge Kishimba aishauri serikali iingize kamari kwenye syllabus watoto wafundishwe kusuka mikeka!😀 Kukosekana kwa elimu rasmi kunapelekea wengi kuishia kupunwa na kutajirisha watu tu. Mtu hasomi hata T&C keshaweka mzigo!
Tumwesige senior JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 6,978 Reaction score 12,641 Sep 19, 2026 #9 Wananuka shida
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 46,410 Reaction score 114,823 Sep 19, 2026 #10 Kuna muda simba akizidiwa hula nyasi. Hali ya kipato inachangia hili kuongezeka.