Kwanini watumishi wote wa Bank wana Alama 'M' katika viganja vyao?

Kwanini watumishi wote wa Bank wana Alama 'M' katika viganja vyao?

mwibamwiba

Senior Member
Joined
May 22, 2015
Posts
150
Reaction score
38
Watumishi wote wa Bank wanafanana kwa kuwa na alama au mchoro M katika viganja vyao. Hapo ndipo napouliza kwanini iwe hivyo? Yaani mtumishi yoyote wa bank yupo katika kundi la wenye kiganja chenye mchoro 'M'.

Inakuwaje na katika Uajiri hawakaguliwi viganja vya mikono?
 
Ww umewaona wawili watatu ushakonclude loo..nachojua ni kwamba zamani watu wny M walikuwa wakikatwa viganja kwa sababu waliamini nimikono yeny bahati ya Mali
 
Uliwafolenisha lini na kuwakagua? Maelimu mengine ambayo yanatokana na kudhurura sana kwa waganga kienyeji kuusaka utajiri yanapelekea matendo ya kinyama dhidi ya binadamu(eg albinos).Sababu zinazopelekea kuwa tajiri ni nyingi mno ila hiyo ya kwako ni mawazo ya kufuria
 
ili uamini mwangalie kiganja mtumishi yoyote wa bank kisha njoo unipe jibu kama ktk kiganja chake hana alama M:llama:
 
Kwa kujiamini unasema kabisa watumishi WOTE wa benki, Duniani kuna mabenki mangapi na ulifanikisha vipi kuwakagua wote mkuu? Tuanzie hapo
 
Watumishi wote wa Bank wanafanana kwa kuwa na alama au mchoro M katika viganja vyao. Hapo ndipo napouliza kwanini iwe hivyo? Yaani mtumishi yoyote wa bank yupo katika kundi la wenye kiganja chenye mchoro 'M'.

Inakuwaje na katika Uajiri hawakaguliwi viganja vya mikono?

Utafiti wako ni rahisi sana kufanya replication. Sasa tuletee picha za viganja kimoja kimoja kutoka benki 6 tu, 3 national, na 3 international. Halafu utuambie na kutochorea 'M' ilivyo kwenye kiganja (sijui cha kushoto au kulia au vyote). Halafu utafiti huu pia ufanyike Kenye na Uganda, mfano.
 
ha ha ha mimi nimefurahi hiyo picha,nendabank wakuoneshe viganja ndio utaamini boss
 
...Acha kudanganya watu we jamaa....ninauhakika 100% huna proofs za hicho unachokisema...think twice bro.
 
Back
Top Bottom