mwibamwiba
Senior Member
- May 22, 2015
- 150
- 38
Ndio lazima atwambie na tulifanyie kazi pengne kwel au c kwel. Siwezi kukubal au kukataa pengne mna ukwel ndan yakemkuu hebu elezea umefikiaje hilo hitimisho?
Watumishi wote wa Bank wanafanana kwa kuwa na alama au mchoro M katika viganja vyao. Hapo ndipo napouliza kwanini iwe hivyo? Yaani mtumishi yoyote wa bank yupo katika kundi la wenye kiganja chenye mchoro 'M'.
Inakuwaje na katika Uajiri hawakaguliwi viganja vya mikono?