KAWETELE
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 700
- 1,674
Ruto kashinda Urais Kenya tunaoneshwa picha zake za zamani akiwa na MKE WAKE.
Nakumbuka pia Obama alishinda Urais tukaona picha zake za zamani akiwa na MKE WAKE..
Na Mara hizi zote nimeshuhudia watu wakisifu kuwa hawa wanawake "walivumilia sana maisha ya waume zao na kuwasaidia kufikia ndoto zao"
Yawezekana ni kweli na kuwasifu ni Jambo jema sana.
Sasa
Tanzania tuna Rais Mwanamke mbona hatukuona picha na mme wake enzi hizo?
Basi tuachane na picha mbona hatusikii hata sifa kwa "kumvumilia" mke wake kufikia ndoto zake? 😂
Binafsi hata nikikutana na mme wa Rais Samia sitaweza kumtambua😄
Si kwa Rais Samia tu hata kwa mataifa mengine yaliyowahi kuwa na Rais Mwanammke nimechunguza waume zao hawapewi "credits" kabisa.
Sifa hazigawanywi mwanamke anapofanikiwa ila mwanamme akifanikiwa zinagawanywa 😂
Je, hivi ni kweli sisi wanaumme hatuna mchango kwenye kufanikiwa kwa wake zetu? Na kama ni ndiyo,Kwanini hatuwi hatupewi recognition?
Ama tuliwaambia hatupendi kusifiwa? 😂
Nawaza tu.
Credit. Dr Baraka Marco Nkondo Fb page.