Kwanini wauzaji wa Alkasusu Al-Mujarabu wanavaa kanzu??

Kwanini wauzaji wa Alkasusu Al-Mujarabu wanavaa kanzu??

😄Wamesoma kitabu kilicho kamilika.

😄Kina elimu zote ikiwepo ya udaktari.

😄Hao unsowaona ni wahitimu kama wale waliosoma Muhimbili miaka 7 ila tofauti wa muhimbili wametumia vitabu vya kidunia na hao wa alkadusi wametumia kitabu kilichoteremshwa.

😄Wapo wabobezi wa idara mbalimbali kama wauzaji wa dawa za Kisuna, za kuongeza nguvu za...., Mvuto wa mapenzi na za majini.

😄 Hospitali zao ni tofauti kidogo ni za kuweka meza karibu na nyumba za ibada au kutembeza mitaani
 
65639878-6912-45AF-8C1E-22CD75FE7AEE.jpeg
 
[emoji1]Wamesoma kitabu kilicho kamilika.

[emoji1]Kina elimu zote ikiwepo ya udaktari.

[emoji1]Hao unsowaona ni wahitimu kama wale waliosoma Muhimbili miaka 7 ila tofauti wa muhimbili wametumia vitabu vya kidunia na hao wa alkadusi wametumia kitabu kilichoteremshwa.

[emoji1]Wapo wabobezi wa idara mbalimbali kama wauzaji wa dawa za Kisuna, za kuongeza nguvu za...., Mvuto wa mapenzi na za majini.

[emoji1] Hospitali zao ni tofauti kidogo ni za kuweka meza karibu na nyumba za ibada au kutembeza mitaani
Unamfahamu Ibn Sina

Unamfahamu Rufaiydah Bint Saad??

Ukipata muda wasome watu hao

Sent from my 2201116SI using JamiiForums mobile app
 
Mbona mimi naona na wavaa suruali na wanawake wanavaa madera. Hivi akivaa kanzu inakuwa alkasus yake tamu zaidi au mimi Sijafahamu?.
 
Back
Top Bottom