matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Mzee huwezi kulaumiwa Kwa Kutokujua kupasua moyo. Ila utalaumiwa na kuhukumiwa Kwa Kutokujua Sheria usizozijua.Ilibidi wote tufundishwe udaktari tujitibu wenyewe.
Bangi za kwenye biskuti zinaliangamiza Taifa.
Tatizo sio langu, ni la Dunia. Maana hata mbele za Allah tutahukumiwa bila mwanasheria .Nani aliyekuzuia kusoma hiyo sheria somesha kwenu wote hiyo sheria
Katiba ya nchi ndio ilipaswa kufundishwa kwa kila MTz toka darasa la 3 mpaka kidato cha nne, angalau waTz waijue ndani - nje kama wanavyojua vitabu vya dini zao. Ila kuijui Sheria kwa undani, bado ingebidi mtu apate shahada.Sheria ilipaswa kuwa ni sharti la lazima tujue kuanzia watoto. Kama hatufundishwi darasani na makanisani kama amri kumi basi ule msemo Kutokujua Sheria sio hudhuru haukutakiwa kuwepo.
Huo msemo ulipaswa kuwa Kwa wasomi wa Sheria sio sisi maamuma na wananchi wasio na ufahamu huo.
Ni kama kanjama flani ka kuwapa Hawa majamaa ulaji. Ilitakiwa Kila mtu ajitetee mwenyewe na hao jamaa watafute Shughuli nyingine.
Wakuu wazo tu limenijia, wajuvi wa Kwa Nini mwanasheria, kwanini tuhukumiwe bila ujuzi wa mambo ya Sheria, Kwa Nini hatufundishwi kama Sheria za kumkosea Mungu zinavyosisitizwa.
Wajuvi mnisaidie.
Asante Kwa ufafanuzi.Katiba ya nchi ndio ilipaswa kufundishwa kwa kila MTz toka darasa la 3 mpaka kidato cha nne, angalau waTz waijue ndani - nje kama wanavyojua vitabu vya dini zao. Ila kuijui Sheria kwa undani, bado ingebidi mtu apate shahada.
Hahahah samahani mkuu.Katika hao maamuma mimi simo tafadhali.
Advantages of division of labourSheria ilipaswa kuwa ni sharti la lazima tujue kuanzia watoto. Kama hatufundishwi darasani na makanisani kama amri kumi basi ule msemo Kutokujua Sheria sio hudhuru haukutakiwa kuwepo.
Huo msemo ulipaswa kuwa Kwa wasomi wa Sheria sio sisi maamuma na wananchi wasio na ufahamu huo.
Ni kama kanjama flani ka kuwapa Hawa majamaa ulaji. Ilitakiwa Kila mtu ajitetee mwenyewe na hao jamaa watafute Shughuli nyingine.
Wakuu wazo tu limenijia, wajuvi wa Kwa Nini mwanasheria, kwanini tuhukumiwe bila ujuzi wa mambo ya Sheria, Kwa Nini hatufundishwi kama Sheria za kumkosea Mungu zinavyosisitizwa.
Wajuvi mnisaidie.
Nimekuelewa SanaAdvantages of division of labour
Hahahahaha. Utakuwa mwanasheria wewe. Kama Kasema JKN Mimi ni nani nibishe mkuu.Tatizo sio translation bali interpretation!
Mwl Nyerere alipata kusema,
"kuna kazi kila mtu anaweza kufanya, lakin kazi ya sheria na hukumu si kati y kazi hizo!"
Nadhan umeelewa si kama mav...zi kwamba kila mtu anaweza kuota