Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Huu siyo Uzi wa kidini, upumbavu wako upeleke hukohukoNA KWANINI KWENYE REPORT YA ESCROW KUNA MAKANISA NA MAASKOFU TUH NA HAKUNA MASHEIKH NA MISIKITI??
Una hojaKwa sababu watanganyika ni wapumbavu tu
Na kwanini hateki unguja?Tujiulize anayetuhumiwa kuwa ni mkuu wa utekaji anatokea wapi.kwanza mengine tutaelewa tuu.
Janjaweed na Mazombie hawapo tena ZanzibarKwanini wakati ule Zanzibar kulipokuwa na vile vikosi vya wavaa mask wanaopita mitaani kutembeza mikong'oto na kuchukua watu walioonekana mwiba kwa serikali, kwa Tanganyika hakukuwa na aina hiyo ya vikosi ?
au ndio tuseme huu ni wakati wa Tanganyika kupata the taste of their own medicine ?
kumekuwepo kwa Malalamiko kuhusu uwepo wa vikosi vya usalama vya Zanzibar (vinavyojulikana kama Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar - SMZ) kuwakamata, kuwapiga, au kuwanyanyasa wananchi—hasa wakosoaji wa serikali na wanachama wa vyama vya upinzani— matukio haya ya kissenge yamekuwa yakiripotiwa mara kwa mara na mashirika ya kutetea haki za binadamu na viongozi wa kisiasa
hicho kikosi hutumia jina la Mazombie kama sijakosea
basi tunabadilishanaJanjaweed na Mazombie hawapo tena Zanzibar
Si kweli, kwanza hao mazombie walikuwa wanapiga mikwaju na bakora tu hawakuwa watekajibasi tunabadilishana
Kipindi ambacho Rais ni mtanganyika, wazanzibar wanapelekewa moto ile mbaya and vice versa.
Huu Uzi leo umenisaidia kuwajua Wazanzibar walijificha nyuma ya ID FekiKwanini wakati ule Zanzibar kulipokuwa na vile vikosi vya wavaa mask wanaopita mitaani kutembeza mikong'oto na kuchukua watu walioonekana mwiba kwa serikali, kwa Tanganyika hakukuwa na aina hiyo ya vikosi ?
au ndio tuseme huu ni wakati wa Tanganyika kupata the taste of their own medicine ?
kumekuwepo kwa Malalamiko kuhusu uwepo wa vikosi vya usalama vya Zanzibar (vinavyojulikana kama Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar - SMZ) kuwakamata, kuwapiga, au kuwanyanyasa wananchi—hasa wakosoaji wa serikali na wanachama wa vyama vya upinzani— matukio haya ya kissenge yamekuwa yakiripotiwa mara kwa mara na mashirika ya kutetea haki za binadamu na viongozi wa kisiasa
hicho kikosi hutumia jina la Mazombie kama sijakosea
Vipindi vyote marais wanakuwa ni wa CCM na waathirika ni wapinzani. Hata hayo mnayosema ya Mkapa ambayo inasemekana wanalipa kisasi ilikuwa ni CCM dhidi ya wapinzani. Ukirudi nyuma ya Jumbe, yalifanywa na CCM. Tuishi humo!basi tunabadilishana
Kipindi ambacho Rais ni mtanganyika, wazanzibar wanapelekewa moto ile mbaya and vice versa.
Kwi Kwi Kwihoja ya kipuuzi sana