Afcon kinanuka
JF-Expert Member
- Apr 5, 2026
- 1,623
- 4,213
Inaonekana kama unafurahia matendo ya mhuni (mzanzibar) mwenzenu kututeka watanganyika kama Hmphrey polepoleWale Mashekh wa uhamsho wamekamatiwa Zanzibar tuhuma zao nikama zipo Zanzibar👈
lkn wakaja kushtakiwa Bara na kuwekwa Lupango Ukonga
Dar es Sallam👈
Umewai kujiuliza kwanini
Mfano leo uyo Tundu Lissu Angeshtakiwa Zanzibar
kwa uhaini mngeridhika
nyinyi ❓️ uko kanisani kungekalika kwa uchohezi ‼️‼️
Sasa Wananchi wa Zanzibar walipotezea 👈
ndugu zao kuja kushtakiwa uku Bara kulinda mshikamano wetu👈
Na siku mmoja kiongozi yoyote kutokea Bara akishtakiwa Zanzibar mjue sio jambo jipya
yashatokea hayo ✍️
Inaonekana kama unafurahia matendo ya mhuni (mzanzibar) mwenzenu kututeka watanganyika kama Hmphrey polepole
Ni kwa sababu Watanganyika baadhi yenu mnaleta ubishi wa kukataa kutawaliwa na Wazanzibari. Wenzenu waliokubali kwa hiyari yao kutawaliwa, mbona hawatekwi! Kuuwawa! Kupotezwa! Wala kufungwa?Hili ni swali ambalo watu wote majasiri na wenye akili timamu mnapaswa kujiuliza
Hii ni kwa sababu wote wanaotekwa na kupotezwa ni Watanganyika, hill halina ubishi wowote ule, orodha ni ndefu (Malisa chupuchupu)
Nafahamu kwamba kwa uzi huu nitaitwa mbaguzi, hata hivyo sijali chochote hadi nipewe majibu, PEMBE LA NG'OMBE HALIFICHIKI, haitawezekana tunyamazie hali hii kwa hofu za kijinga.
Kwanini ni Watanganyika pekee wanaotekwa na kuuawa?
Naomba kuwasilisha.
Hili ni swali ambalo watu wote majasiri na wenye akili timamu mnapaswa kujiuliza
Hii ni kwa sababu wote wanaotekwa na kupotezwa ni Watanganyika, hill halina ubishi wowote ule, orodha ni ndefu (Malisa chupuchupu)
Nafahamu kwamba kwa uzi huu nitaitwa mbaguzi, hata hivyo sijali chochote hadi nipewe majibu, PEMBE LA NG'OMBE HALIFICHIKI, haitawezekana tunyamazie hali hii kwa hofu za kijinga.
Kwanini ni Watanganyika pekee wanaotekwa na kuuawa?
Naomba kuwasilisha.
Wewe unaongozs kuuleta post za kipuxi hapa.. na wewe si mbaguzi lakini ni ujinga ndiyo unaokusumbua.. na tunaelewa unapata posho kwa Kila ukiandika...Huu siyo Uzi wa kidini, upumbavu wako upeleke hukohuko
Taarifa sahihi na rasmi ni za Time ya Jaji Chande inayosema 530. Na ameonesha kila Mkoa walikuwa wangapi!
Kama wewe taarifa zengine, ziweke hapa. Ila kama ni hisia tu na porojo, peleka kwa nyumbus wenzako!
Kwa wamechoka kutekwa??Wazanzibari walishatekwa zamani kina hanga kina othman sharif kina jaha ubwa kina jimy Ringo kina Saleh sadala na wengine wengi tu zaidi ya miaka 60 hata makaburi yao hayajuliakani yapo KUNA ZAMA ZAMU poleni sana watanganyika
Inasemekana ndiyo wengi wanajazwa kwenye idara za baraHili ni swali ambalo watu wote majasiri na wenye akili timamu mnapaswa kujiuliza
Hii ni kwa sababu wote wanaotekwa na kupotezwa ni Watanganyika, hill halina ubishi wowote ule, orodha ni ndefu (Malisa chupuchupu)
Nafahamu kwamba kwa uzi huu nitaitwa mbaguzi, hata hivyo sijali chochote hadi nipewe majibu, PEMBE LA NG'OMBE HALIFICHIKI, haitawezekana tunyamazie hali hii kwa hofu za kijinga.
Kwanini ni Watanganyika pekee wanaotekwa na kuuawa?
Naomba kuwasilisha.
Na ile Kyela walikokufa 450 ipo GAZA sio?MWANZA ya Unguja ni kweli hakufa mtu
Nikikuamini wewe nitakuwa na akili?Utakuwa mwendawazimu kuiamini taarifa ya kamati iliyoongozwa na tapeli chinde, kamati iliyoundwa na muuaji.
Watu walitoa uthibitisho ulio wazi kabisa kuonesha taarifa hiyo ilivyo ya uwongo. Kwa mfano, tapeli chnde hakuonesha kuuawa kwa mtu yeyote huko Kahama, wakati watu walishuhudia kwa macho yao jinsi mashetani walivyowaua watu, na miili kuzagaa barabarani. Kamati ya wauaji haikuonesha mtu yeyote kuuawa huko Tunduma, ilihali watu walishuhudia jinsi utawala wa shetani ulivyoua watu kwenye mji huo. Ninyi majuha wauaji, bila shaka damu za watu mlizozimwaga, zimewaondolea akili na hekima. Kamati zote zinazoundwa na muuaji zimejaa matapeli na watu waongo pekee. Kwenye hizo kamati huwezi kuwekwa kama una akili timamu, na ni mkweli wa nafsi, wanawekwa matapeli waliokubali kutumika na wauaji, kwa lengo la kuwasafisha, japo kiuhalisia hawawezi kujisafisha kwa mbinu za kipuuzi kama hizo.
AiseeeeInasemekana ndiyo wengi wanajazwa kwenye idara za bara
Wapo Watanganyika wanatawala Zanzibar lkn ukiwa na umri kwanzia miaka 25 kushuka chini huwezi kuwaona‼️
na ikiwa kwanzia 40 kwenda juu utagundua Watawala wote wa Zanzibar chanzo chao ni pale Dodoma✍️