Kwanini Wazanzibar hawatekwi na kupotezwa?

Huu Uzi leo umenisaidia kuwajua Wazanzibar walijificha nyuma ya ID Feki
Wapo wengi tu humu utawajua kwa comments zao ila huwa hawasemi wazi wazi ili waonekane ni watanganyika wanaomuunga mkono samia
 
Mimi ni CHOGO kuliko wewe ila ninajitambua, ... hao wazanzibar wana nini zaidi ya huo Urais?
CHADEMA mmeishiwa hoja na mmeamua kujikita kwenye hoja mfu ya Utanganyika!
ABC ya 'divide and rule' imewasaidia kutikisa kidogo - HONGERENI!
😅
Sisi kiumeni hatuna mafala kama wewe, bichwa flat kubwa kama boflo
 
Wewe ni mwarabu au una asili ya kiarabu?
 
Kumbuka pia hakuna aliyenyakuliwa na hakuna mwenye kesi ya jinai au ugaidi, kule ni kuimba ngonjera tu na akina Jussa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…