Kwanini wazee bado wananufaika Schoolarship?


umeongea point mkuu..binafc nlipata makerere universty, enzi hzo kulikua na kitu kinaitwa exchange program for students in east africa,nkaona ujinga,bora nibaki bongo kwetu tu.
 

ninachokikumbuka ni kwamba Sumaye hakupelekwa na serikali, he went for personal development, he is not retired.. just wait to see 2015
 
ninachokikumbuka ni kwamba Sumaye hakupelekwa na serikali, he went for personal development, he is not retired.. just wait to see 2015
Du!kwa hiyo maarifa aliyoyapata havard yanasubiri mpaka 2015..!na lisipokuwa hilo analolitaka huo mwaka 2015 itakuwaje?halafu mi ninavyofahamu urais hausomewi bali utendaji ndio lazima uusomee!
 
Vijana watanzania wameridhika na elimu wanayoipata ndani ya nchi yao.over
he wewe, we utakua moja kati ya hao wazee wanao jitwaalia hizo schlshp, hebu mtaje hata kijana mmoja unaehisi kridhika na elim yake? watu tuna taabika, achilia mbali hizo za nje hata kupata elimu za juu humu ndani ni utata, leo wasema tumeridhika ?ebo.... :A S 112:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…