Kwanini wazee wanapenda kuvaa mabwanga?

Kwanini wazee wanapenda kuvaa mabwanga?

ntuchake

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2024
Posts
408
Reaction score
1,549
Hapa namaanisha wazee kuanzia miaka 50 kuendelea. Wengi wao wanapenda kuvaa masuruali makubwa mapana akisimama linakuwa linatuna mbele na nyuma kama puto alaf limejikunja.

Jamani vaeni suruali zinazowatosha masuruali makubwa makanyela muno kama meyajambia yanawachoresha tu.
 
Weka na picha basi
20240526_090938.jpg
 
Hapa namaanisha wazee kuanzia miaka 50 kuendelea. Wengi wao wanapenda kuvaa masuruali makubwa mapana akisimama linakuwa linatuna mbele na nyuma kama puto alaf limejikunja. Jamani vaeni suruali zinazowatosha masuruali makubwa makanyela muno kama meyajambia yanawachoresha tu.
Kwa diamond na kina jux na wenyewe ni wazee maana wanavaa mabwanga siku hizi
 
Hapa namaanisha wazee kuanzia miaka 50 kuendelea. Wengi wao wanapenda kuvaa masuruali makubwa mapana akisimama linakuwa linatuna mbele na nyuma kama puto alaf limejikunja. Jamani vaeni suruali zinazowatosha masuruali makubwa makanyela muno kama meyajambia yanawachoresha tu.
Mabwanga mbona ndiyo fashion ya sasa? Ulikuwa jela bila shaka wewe. Au mikoani huko bado mnavaa suruali za kubana?
 
Ili wakitaka kukuna kende wasipate tabu kulitafuta.
 
Hapa namaanisha wazee kuanzia miaka 50 kuendelea. Wengi wao wanapenda kuvaa masuruali makubwa mapana akisimama linakuwa linatuna mbele na nyuma kama puto alaf limejikunja. Jamani vaeni suruali zinazowatosha masuruali makubwa makanyela muno kama meyajambia yanawachoresha tu.
Mkuu bila picha mkuu haututendei haki 😊
 
Hapa namaanisha wazee kuanzia miaka 50 kuendelea. Wengi wao wanapenda kuvaa masuruali makubwa mapana akisimama linakuwa linatuna mbele na nyuma kama puto alaf limejikunja. Jamani vaeni suruali zinazowatosha masuruali makubwa makanyela muno kama meyajambia yanawachoresha tu.
Hao wazee 74 kushuka chini😁 Mi naona inategemea na ustaarabu wa generation yako ulyokulia ujana wako! As you age, taste yako ya vitu vingi inakua stagnant..
Unajikuta unaanza kuishi kama walivokuwa wakubwa wako wa enzi izo, hata mziki utajikuta unarudia zilipendwa🤣
 
Fashion zote zilikuwepo. Tunafanya marudio tu. Mimi nilianza kuvaa suluali pana tangia nikiwa mdogo. Sinabadilisha
 
Hapa namaanisha wazee kuanzia miaka 50 kuendelea. Wengi wao wanapenda kuvaa masuruali makubwa mapana akisimama linakuwa linatuna mbele na nyuma kama puto alaf limejikunja.

Jamani vaeni suruali zinazowatosha masuruali makubwa makanyela muno kama meyajambia yanawachoresha tu.

images (26).jpeg

Mkuu huyo si mzee.
 
Kwa hiyo unataka na sisi wazee tuvae kata k, tunyoe viduku, tusuke nywele na kuvaa hereni kama nyinyi vijana wa 2000 siyo!!
 
Back
Top Bottom