KwikwikwikwiMwanangu kua uyaone
Uzee una mengi mkuu wengine wanakua washapata mabusha mkuu
Pesa wanazo waende wakatibiweMwanangu kua uyaone
Uzee una mengi mkuu wengine wanakua washapata mabusha mkuu
Weka na picha basi
Kwa diamond na kina jux na wenyewe ni wazee maana wanavaa mabwanga siku hiziHapa namaanisha wazee kuanzia miaka 50 kuendelea. Wengi wao wanapenda kuvaa masuruali makubwa mapana akisimama linakuwa linatuna mbele na nyuma kama puto alaf limejikunja. Jamani vaeni suruali zinazowatosha masuruali makubwa makanyela muno kama meyajambia yanawachoresha tu.
Mabwanga mbona ndiyo fashion ya sasa? Ulikuwa jela bila shaka wewe. Au mikoani huko bado mnavaa suruali za kubana?Hapa namaanisha wazee kuanzia miaka 50 kuendelea. Wengi wao wanapenda kuvaa masuruali makubwa mapana akisimama linakuwa linatuna mbele na nyuma kama puto alaf limejikunja. Jamani vaeni suruali zinazowatosha masuruali makubwa makanyela muno kama meyajambia yanawachoresha tu.
Mkuu bila picha mkuu haututendei haki 😊Hapa namaanisha wazee kuanzia miaka 50 kuendelea. Wengi wao wanapenda kuvaa masuruali makubwa mapana akisimama linakuwa linatuna mbele na nyuma kama puto alaf limejikunja. Jamani vaeni suruali zinazowatosha masuruali makubwa makanyela muno kama meyajambia yanawachoresha tu.
Hao wazee 74 kushuka chini😁 Mi naona inategemea na ustaarabu wa generation yako ulyokulia ujana wako! As you age, taste yako ya vitu vingi inakua stagnant..Hapa namaanisha wazee kuanzia miaka 50 kuendelea. Wengi wao wanapenda kuvaa masuruali makubwa mapana akisimama linakuwa linatuna mbele na nyuma kama puto alaf limejikunja. Jamani vaeni suruali zinazowatosha masuruali makubwa makanyela muno kama meyajambia yanawachoresha tu.
Hapa namaanisha wazee kuanzia miaka 50 kuendelea. Wengi wao wanapenda kuvaa masuruali makubwa mapana akisimama linakuwa linatuna mbele na nyuma kama puto alaf limejikunja.
Jamani vaeni suruali zinazowatosha masuruali makubwa makanyela muno kama meyajambia yanawachoresha tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiii, Woiiiiih