Kwanini Waziri Mkuu hana naibu?

Kwanini Waziri Mkuu hana naibu?

Kusena

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2020
Posts
278
Reaction score
169
Naomba kuuliza hiki kitu kinanitatiza.

Kwanini Waziri Mkuu hana naibu?
 
Ana mawaziri wasaidizi chini ya Ofisi yake akiwemoJenista Mhagama
 
Ndio katiba inavyoainisha hivyo...waliona haina haja ya kuwa na naibu wake
 
Back
Top Bottom