Kwanini Waziri Ummy anatumia muda mwingi kupokea michango ya Sanitizer na Barakoa kutoka kwa wafanyabiashara

Kwanini Waziri Ummy anatumia muda mwingi kupokea michango ya Sanitizer na Barakoa kutoka kwa wafanyabiashara

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nimekuwa nafuatilia kwa karibu namna Mawaziri wa afya barani Afrika wanavyotimiza majukumu yao katika kupambana na Corona.

Wengi wao wanatumia muda mwingi katika kuelezea hatua ya mapambano hayo yalipofikia na matarajio ya nchi zao mbele ya safari.

Lakini kidogo nimeona tofauti kwa approach ya waziri Ummy Mwalimu ambaye anatumia muda wake mwingi kupokea misaada ya Sabuni, Sanitizer na Barakoa ambapo hutumia hafla hizo kuhimiza wananchi kunawa mikono.

Mdau unaionaje hii approach ya Ummy ina tija au hayo majukumu ya kupokea misaada angewaachia DCs na RCs?

Maendeleo hayana vyama!
 
Inabidi ufahamu dada Ummy yeye ni msimamia sera halafu jua kuna kamati zipo kwa ajiri ya kufatilia hili na bahati nzuri zinaongozwa na boss wake ambae PM yeye atafanyaje,
 
Back
Top Bottom