Kwanini WCB hawajawahi kwenda kuhiji maka

Kwanini WCB hawajawahi kwenda kuhiji maka

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Ni kwanini hamna hata mmoja ambaye ameenda maana kujenga msikiti tu haitoshi
 
Kuna misikiti mingapi wameshaijenga?
Na kujenga msikiti sio nguzo ktk nguzo za kiislamu kilicho cha lazima kwa kukili kwa moyo na kutamka kwa ulimi ya kwamba hamna mola apasaye kuabudiwa kwa haki isipokua Allah na muhamedi ni mjumbe wake kisha kusimisha swala KUFUNGA mwezi mtukufu wa ramadhani Mwisho ndio Kuna hiyo Hija
 
Narudia tena kwa mara ya pili, hivi huwa hamna shughuli za kufanya.
Magufuli fanya kama museven kuweka kodi kwenye mitandao ya kijamii wanaume kwa wanawake wanapoteza muda kwenye umbea na udaku.
 
Wakienda huko wakirudi hawatoruhusiwa kukata mauno tena wala kuvaa heleni puani

Ova
 
unamjua Al-haj Pogba? huyo licha ya kwenda huko bado anaweka hereni masikioni
Na pombe akapiga au mbona naskia ukienda Huko ukirudi hutakiwi kufanya maeneo ya uovu mm naona kwenda Huko Siku Hizo imekuwa fashion tu

Ova
 
Narudia tena kwa mara ya pili, hivi huwa hamna shughuli za kufanya.
Magufuli fanya kama museven kuweka kodi kwenye mitandao ya kijamii wanaume kwa wanawake wanapoteza muda kwenye umbea na udaku.
Nakaziaa
 
Lady JayDee, Mpoto, Joti wote washaenda, bado hawa WACHAFU tu.
 
Back
Top Bottom