Kwanini web design companies yenyewe hayana website????

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Naomba mnisaidia hapa. Katika utafiti wangu nimegungua makapuni mengi yanayo fanya kazi za kutengeneza na kuhost website hapa bongo yenyewe haya website. Je hii ni strategy of business??
 
Ni matakwa tu, si lazima kila muuza suti, awe anavaa suti.
 
Naomba mnisaidia hapa. Katika utafiti wangu nimegungua makapuni mengi yanayo fanya kazi za kutengeneza na kuhost website hapa bongo yenyewe haya website. Je hii ni strategy of business??

fundi mchonga vigoda anakalia mkeka teh teh teh....:twitch:
 
Back
Top Bottom