Kila nikipitia mass media au michango ya watu mbali mbali utakuta wanachoongea kuhusu Odinga ni kuwa puppet ila sioni point hasa u-puppet wake ni nini hasa na upo wapi?
Hebu anayejua u-puppet wa huyu kiongozi anisaidie ni kwa kivipi hasa???
taarifa za kiintelegence zinasema kwamba raila anataka kuitisha maandamano nchi nzima kulazimisha serikali kuondoa majesh yake huko somalia kwa faida ya wakenya kuendelea kuishi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.