Kwanini Wenza wa Waalimu na Maaskari Wastaafu wasipewe kiinua mgongo?

Kwanini Wenza wa Waalimu na Maaskari Wastaafu wasipewe kiinua mgongo?

Fact to be told, utumishi ni utumishi tu, ispokuwa ngazi zinatofautiana, nadhani vyeo vya kiutawala vyenye kupigwa kura nadhani ndivyo vilistahili posho pendekezwa.
 
Wastaafu wenyewe tu hicho kiinua mgongo wanakipata kwa mafungu tena kwa msoto utadhani hisani itakuwa wenza.
 
Hapa suala ni wenza na kiinua mgongo, kwanini wenye vyeo vya juu wakistaafu wenza wao huvuna kiinua mgongo tena kinono lakini wenza wa waalimu, maaskari nk wanabaguliwa?
Haki iko wapi?
Tungekuwa na Bunge tusingeona upuuzi kama huu. Dhalim alitukosea sana watanzania kuingiza matutusa bungeni kwa interest zake.
 
Back
Top Bottom