Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Tuna bunge la ajabu sana!
Mwenye nacho huongezwa, Asiye nacho hunyan'gwanya hata kile kidogo alichonacho.
Tungekuwa na Bunge tusingeona upuuzi kama huu. Dhalim alitukosea sana watanzania kuingiza matutusa bungeni kwa interest zake.Hapa suala ni wenza na kiinua mgongo, kwanini wenye vyeo vya juu wakistaafu wenza wao huvuna kiinua mgongo tena kinono lakini wenza wa waalimu, maaskari nk wanabaguliwa?
Haki iko wapi?
Ni ujingili mtupu wa fedha za ummaHapa suala ni wenza na kiinua mgongo, kwanini wenye vyeo vya juu wakistaafu wenza wao huvuna kiinua mgongo tena kinono lakini wenza wa waalimu, maaskari nk wanabaguliwa?
Haki iko wapi?
Hii ni nia ya uovu kabisa kwa fedha za ummaTungekuwa na Bunge tusingeona upuuzi kama huu. Dhalim alitukosea sana watanzania kuingiza matutusa bungeni kwa interest zake.
Kuna layer fulani inataka kuitafuna nchi haswa kwa kisingizio cha kijingaWastaafu wenyewe tu hicho kiinua mgongo wanakipata kwa mafungu tena kwa msoto utadhani hisani itakuwa wenza.