Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Unajua maana ya tax relief, na inavyotolewa au ndio sera ya "Saccos" kubwa bwaja tu juu ya kodi kuwa kubwa n.kNchi za wenzetu tu wana tax relief
Kwa walipa kodi,sisi ni mwendo wa kulipa tu
Kulipa tu
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Enzi hizo ndiyo tulikuwa tunaanza kuipandikiza Elimu ili elimu ituzalishie maisha bora,kwa hiyo ilikuwa rahisi zaidi kukusanya kodi miaka hiyo kuliko sasa,ila kodi yenyewe ndio ilikuwa hakuna!!Tanzania wakati wa Nyerere elimu ilikuwa bure na matibabu bure na ajira bwerere tele serikalini na watu walikuwa wagumu kulipa kodi!! Hayo ya sweden tulishapita huko watanzania kwenye kodi vichwa ngumu