Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,248
- 18,435
Hilo ndilo hasa tunapaswa kujifunza kutoka kwake,ni ujinga kujifunza kwa failure mwenzako,tuwaige waliofanikiwa,siyo waliofeli,asanteTujaribu kujifananisha na kapuku wenzetu, Sweden ni nchi imejengwa kwa zaidi ya miaka 1649, tunafananisha na vinchi vina miaka 60. Taifa lá Sweden ni la zamani kuliko Uingereza.
Umenena mkuu!Hilo ndilo hasa tunapaswa kujifunza kutoka kwake,ni ujinga kujifunza kwa failure mwenzako,tuwaige waliofanikiwa,siyo waliofeli,asante
Wana uhakika na taratibu za makusanyo ya kodi na matumizi yake.The Nordic Way - BBC Reel
Wananchi wenzetu huko Sweden wamefanikiwa kujenga a Welfare State.
Nchi ambako Shule ni bure hadi Chuo Kikuu, Matibabu ni bure, Usafiri na nyumba ni sawa na bure.
Wazazi wakijifungua matibabu na matunzo ni bure.
Nasema bure kwa maana kodi wananchi wanazotoa zinalipia huduma zote hizo.
Nimefika Sweden kwa hiyo najua haya ninayosema ni kweli.
Tanzania kodi zetu vipi?
tuanzie kwny katiba Yao ipoje?pili tuje kwny mfumo wa maisha ya viongozi wao upoje manake huwezi kuwa na magari ya gharama af uwe na amani wananchi wako kunywa maji machafuThe Nordic Way - BBC Reel
Wananchi wenzetu huko Sweden wamefanikiwa kujenga a Welfare State.
Nchi ambako Shule ni bure hadi Chuo Kikuu, Matibabu ni bure, Usafiri na nyumba ni sawa na bure.
Wazazi wakijifungua matibabu na matunzo ni bure.
Nasema bure kwa maana kodi wananchi wanazotoa zinalipia huduma zote hizo.
Nimefika Sweden kwa hiyo najua haya ninayosema ni kweli.
Tanzania kodi zetu vipi?
Tanzania kodi zetu vipi?
Sio rahisi watanzania kulipa kodi kwa sababu hata serikali haitaki walipe ili waipigie kura.
Halafu baadae serikali itaenda kukopa na kulamba wazungu makalio ili wapewe misaada.
Umasikini wa nchi hii ni matokeo ya ccm na hakuna namna watafanya kurekebisha hilo.
Unalipa kodi baada ya mwaka tra wanakuja tena.The Nordic Way - BBC Reel
Wananchi wenzetu huko Sweden wamefanikiwa kujenga a Welfare State.
Nchi ambako Shule ni bure hadi Chuo Kikuu, Matibabu ni bure, Usafiri na nyumba ni sawa na bure.
Wazazi wakijifungua matibabu na matunzo ni bure.
Nasema bure kwa maana kodi wananchi wanazotoa zinalipia huduma zote hizo.
Nimefika Sweden kwa hiyo najua haya ninayosema ni kweli.
Tanzania kodi zetu vipi?
Unaona wivu?Mwenzako Lisu na Lema wanalelewa na wazungu kisha wanataka nchi, hivi tutjikomboa kweli tukiwapa hao?
Muulize Jiwe maana nchi ni mtu mmoja sasaThe Nordic Way - BBC Reel
Wananchi wenzetu huko Sweden wamefanikiwa kujenga a Welfare State.
Nchi ambako Shule ni bure hadi Chuo Kikuu, Matibabu ni bure, Usafiri na nyumba ni sawa na bure.
Wazazi wakijifungua matibabu na matunzo ni bure.
Nasema bure kwa maana kodi wananchi wanazotoa zinalipia huduma zote hizo.
Nimefika Sweden kwa hiyo najua haya ninayosema ni kweli.
Tanzania kodi zetu vipi?
Reference pleaseTaifa lá Sweden ni la zamani kuliko Uingereza.
Si bora lisu na lema, Tanzania nzima chini ya ccm tunalelewa na wazungu miaka 60 sasa.Mwenzako Lisu na Lema wanalelewa na wazungu kisha wanataka nchi, hivi tutjikomboa kweli tukiwapa hao?
Hizi ndiyo akili za kishoger sasa, nchi haipaswi kuendeshwa na akina lissu au akina magufull!! Inaongozwa kwa mipango ya muda mrefu na mfupi,katiba, we dont need great peoples,we need great institution! Haya mambo ya mtu na familia yake kuchomekea mawazo yao kwenye utendaji wa nchi ndiyo yanagharimu nchi zetu hizi masikiniMwenzako Lisu na Lema wanalelewa na wazungu kisha wanataka nchi, hivi tutjikomboa kweli tukiwapa hao?
Huduma wanazozipata zinalingana na kodi wanazolipa.The Nordic Way - BBC Reel