Hata hapa unaweza kuhoji , tatizo ni wewe mwenyewe kuto chagua Diwani au Mbunge aliye competent .Angalau mlipa Kodi anao uwezo wa kuhoji matumizi yake.
Hata hapa unaweza kuhoji , tatizo ni wewe mwenyewe kuto chagua Diwani au Mbunge aliye competent .
Sasa unategemea nini hapo. Ulime machungwa, utegeme kupata maembe
Unakosea, wanakwenda kila mahali kwa shughuli za serikali, ni moja ya wajibu wao ila watatumia njia zao za usafiri, iwe basi, treni, ndege au gari binafsi.Angalia safari za raisi mkoani, unakuta kaongozana na cabinet ya mawaziri, wakurugenzi wa wizara na team ya watu. Gharama ni kubwa sana halafu wanaenda kuzindua shule na wakati huo huo kuna shule haina madarasa, wakati kujenga darasa moja na madawati ni milion 40, lakini matumizi yao kwa siku na hiyo mi v8 ni zaidi ya milioni mia.
Shida yetu siyo pesa, ila ni vipaumbele. Hao wa finland na sweden maisha ya viongozi wao ya kawaida tu hawaongozani na misafra isiyo na sababu
The Nordic Way - BBC Reel
Wananchi wenzetu huko Sweden wamefanikiwa kujenga a Welfare State.
Nchi ambako Shule ni bure hadi Chuo Kikuu, Matibabu ni bure, Usafiri na nyumba ni sawa na bure.
Wazazi wakijifungua matibabu na matunzo ni bure.
Nasema bure kwa maana kodi wananchi wanazotoa zinalipia huduma zote hizo.
Nimefika Sweden kwa hiyo najua haya ninayosema ni kweli.
Tanzania kodi zetu vipi?
Clip inajieleza au hujaipitia?MKuu either ni upotoshaji au ujajifunza kitu.
Ila nikudokeze tu, Sweeden asilimia kubwa ya hela zao ni mafuta na gas.
na ndipo wana welfare state fund ya kutosha yenye uwezo mkubwa.
Sababu kodi inatumika vizuri kwa kushughulikia mambo yao moja kwa mojaThe Nordic Way - BBC Reel
Wananchi wenzetu huko Sweden wamefanikiwa kujenga a Welfare State.
Nchi ambako Shule ni bure hadi Chuo Kikuu, Matibabu ni bure, Usafiri na nyumba ni sawa na bure.
Wazazi wakijifungua matibabu na matunzo ni bure.
Nasema bure kwa maana kodi wananchi wanazotoa zinalipia huduma zote hizo.
Nimefika Sweden kwa hiyo najua haya ninayosema ni kweli.
Tanzania kodi zetu vipi?
The Nordic Way - BBC Reel
Wananchi wenzetu huko Sweden wamefanikiwa kujenga a Welfare State.
Nchi ambako Shule ni bure hadi Chuo Kikuu, Matibabu ni bure, Usafiri na nyumba ni sawa na bure.
Wazazi wakijifungua matibabu na matunzo ni bure.
Nasema bure kwa maana kodi wananchi wanazotoa zinalipia huduma zote hizo.
Nimefika Sweden kwa hiyo najua haya ninayosema ni kweli.
Tanzania kodi zetu vipi?
Una maswali magumu!Kwani Waziri Mkuu wa Sweden kajenga International Airport nyumbani kwao.
Ulisikia PM wa Sweden kapeleka SGR na Stadium nyumbani kwao alipozaliwa.
Ukisikia PM wa Sweden kanunua wapinzani au kavuruga uchaguzi ?.
Daaahh ila hata hapa tz inawezekana kua hivii.The Nordic Way - BBC Reel
Wananchi wenzetu huko Sweden wamefanikiwa kujenga a Welfare State.
Nchi ambako Shule ni bure hadi Chuo Kikuu, Matibabu ni bure, Usafiri na nyumba ni sawa na bure.
Wazazi wakijifungua matibabu na matunzo ni bure.
Nasema bure kwa maana kodi wananchi wanazotoa zinalipia huduma zote hizo.
Nimefika Sweden kwa hiyo najua haya ninayosema ni kweli.
Tanzania kodi zetu vipi?
Kodi ukiona inakufaidisha huwezi kuona matatizo kulipa.The Nordic Way - BBC Reel
Wananchi wenzetu huko Sweden wamefanikiwa kujenga a Welfare State.
Nchi ambako Shule ni bure hadi Chuo Kikuu, Matibabu ni bure, Usafiri na nyumba ni sawa na bure.
Wazazi wakijifungua matibabu na matunzo ni bure.
Nasema bure kwa maana kodi wananchi wanazotoa zinalipia huduma zote hizo.
Nimefika Sweden kwa hiyo najua haya ninayosema ni kweli.
Tanzania kodi zetu vipi?
Kama sovereign state, yes. Tanzania imeanza miaka 60 iliyoppita kama nchi kamili yenye majukumu binafsi na mamlaka kamili. Sweden wameanza zaidi ya miaka 1000 kabla yetu.Unamaanisha Tanzania imeanza Ku exist miaka 60 iliyopita?
Hacha kupotosha chief, issue ya kodi aina mausiano yoyte na umri wa nchi,Kama sovereign state, yes. Tanzania imeanza miaka 60 iliyoppita kama nchi kamili yenye majukumu binafsi na mamlaka kamili. Sweden wameanza zaidi ya miaka 1000 kabla yetu.
Kumbuka chuo kikuu cha kwanza cha taifa cha sweden kimeanza 1477.
Ni upumbavu kujilinganisha na Nchi kama sweden ni sawa na mtoto wa miaka 4 kushangaa mama yake kuweza kuinua ndoo ya maji wakati yeye hawezi
Wenzetu kodi inayokusanywa inatumika kwa vizuri hata mwananchi anaridhika
Huku kodi utozwe, mazingira ya mwananchi mlipa kodi hayaboreshwi zaidi ya kodi hizo kuwanufaisha watu wachache
Ujanjajanja tu wa baadhi ya watu wanaosimamia
Fedha hizo kupiga tu
Ndomaana namba 1 kutwa kulia nao
Ova
The Nordic Way - BBC Reel
Wananchi wenzetu huko Sweden wamefanikiwa kujenga a Welfare State.
Nchi ambako Shule ni bure hadi Chuo Kikuu, Matibabu ni bure, Usafiri na nyumba ni sawa na bure.
Wazazi wakijifungua matibabu na matunzo ni bure.
Nasema bure kwa maana kodi wananchi wanazotoa zinalipia huduma zote hizo.
Nimefika Sweden kwa hiyo najua haya ninayosema ni kweli.
Tanzania kodi zetu vipi?
Mkuu inawezekana uko sahihi kwa mujibu wa historia.Lakini the fundamental issue sio "umri" wa nchi.Nadhani maadili ni muhimu zaidi,,zile core values kama taifa ni zipi? Kama uko tayari watu wafe ili upate madaraka maana yake kama huo ndo mwelekeo hata baada ya miaka 1000 hakuna mabadiliko ya maana yatatokea,kwahiyo kwangu maadilli ni muhimu zaidi.Kama sovereign state, yes. Tanzania imeanza miaka 60 iliyoppita kama nchi kamili yenye majukumu binafsi na mamlaka kamili. Sweden wameanza zaidi ya miaka 1000 kabla yetu.
Kumbuka chuo kikuu cha kwanza cha taifa cha sweden kimeanza 1477.
Ni upumbavu kujilinganisha na Nchi kama sweden ni sawa na mtoto wa miaka 4 kushangaa mama yake kuweza kuinua ndoo ya maji wakati yeye hawezi
Kuna watu wachache waliokaririshwa mambo ya Katiba... Kwao Katiba ni muarobaini wa matatizo yote🤣🤣tuanzie kwny katiba Yao ipoje?pili tuje kwny mfumo wa maisha ya viongozi wao upoje manake huwezi kuwa na magari ya gharama af uwe na amani wananchi wako kunywa maji machafu
Hilo ndilo hasa tunapaswa kujifunza kutoka kwake,ni ujinga kujifunza kwa failure mwenzako,tuwaige waliofanikiwa,siyo waliofeli,asa
Fundamental Resources kubwa moja wapo ni muda. Maadili ni sehemu ndogo tu ya Utamaduni ambao hugawanyika zaidi ktk mila na desturi.Mkuu inawezekana uko sahihi kwa mujibu wa historia.Lakini the fundamental issue sio "umri" wa nchi.Nadhani maadili ni muhimu zaidi,,zile core values kama taifa ni zipi? Kama uko tayari watu wafe ili upate madaraka maana yake kama huo ndo mwelekeo hata baada ya miaka 1000 hakuna mabadiliko ya maana yatatokea,kwahiyo kwangu maadilli ni muhimu zaidi.
Subiri kwaza tumalize kuijenga Chattle City tutafikiria suala lakoThe Nordic Way - BBC Reel