Kwanini whites wanapenda sana hot African girls

Nguva Jike

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2018
Posts
1,226
Reaction score
1,757
Habari zenu.

Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la whites hasa wazungu kuwa na dada zetu blacks motomoto.

Ukipita kwa mitaa, tiktok, fukweni na nchi mbalimbali duniani ni whites na madada zetu weusi motomoto lakini wanawake weupe ni wachache wanaoishi na black men.

Kuna nini tena vichotara vinazaliwa kwa wingi sana. Tena hawa whites wanaonekana kupenda sana dada zetu very hot.

Miaka mingi baadae what will happen in African countries?

Blacks are very hot ndo kinachowavutia?
 
Kwa nchi za weupe, watoto wakike wamekua na makuzi ya 50/50 na ndio wanaamini hivyo.
Tofauti na nchi za kiafrika bado watoto wakike wana misingi ya utii.

Hivyo weupe wanapo kutana na blacks wakawaona ni watii kwa waume zao basi huvutiwa sana.

Kumbuka nature inamtaka mwanamke amtii mwanaume wake na mwanaume ampende mwanamke wake.

Sasa blacks wanawake wenye kaliba ya uSuper woman's, 50/50, wanawake tunaweza nakadhalika ndio wanao ongoza kwa kuvunjika kwa ndoa zao...😊
Haya yameletwa na mabadiliko ya kuiga mila na desturi za magharibi.
 
Hao ulaya wamewapa jina la Passport Bros.Ulaya kuna vuguvugu la 50/50,haki sawa,so kwa mwanaume anayependa future ya kizazi chake na utulivu,kuishi kwenye misingi ile ya asili lazima atatafuta mwanamke anaye mtii.Ndio maana siku za hivi karibuni wazungu wengi wanaoa Wanawake kutoka Africa,Philippines, Thailand na baadhi ya nchi za America kusini, wanawake wa kizungu wanawaogopa na sidhani kama wanafuata hilo joto.

Pili wanaogopa talaka,ulaya talaka zinawafilisi sana wanaume na rate ya talaka ni kubwa sana,so kuescape hilo hukimbilia kwa wanawake ambao watawaheshimu, kuwatii na wasio na ujinga wa 50/50.Swala la joto sidhani kama kwao kipaumbele mf US kuna Black America wengi tu,ila bado hukimbilia Africa.
 
Habari zenu.

Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la whites hasa wazungu kuwa na dada zetu blacks motomoto.

Ukipita kwa mitaa,tiktok,fukweni na nchi mbalimbali duniani ni whites na madada zetu weusi motomoto lakini wanawake weupe ni wachache wanaoishi na black men.

Kuna nini tena vichotara vinazaliwa kwa wingi sana.Tena hawa whites wanaonekana kupenda sana dada zetu very hot.

Miaka mingi baadae what will happen in African countries?

Blacks are very hot ndo kinachowavutia?
Hakuna ukweli wowote kwenye thread yako. Inaonekana huijui dunia wewe.
 
Kwa nchi za weupe, watoto wakike wamekua na makuzi ya 50/50 na ndio wanaamini hivyo.
Tofauti na nchi za kiafrika bado watoto wakike wana misingi ya utii.

Hivyo weupe wanapo kutana na blacks wakawaona ni watii kwa waume zao basi huvutiwa sana.

Kumbuka nature inamtaka mwanamke amtii mwanaume wake na mwanaume ampende mwanamke wake.
Ushimen umenitoa matongotongo kwenye suala la 50/50 lakini pia kwenye heshima kwa mume nakupa big up umeongea kweli 300%
 
Hao ulaya wamewapa jina la Passport Bros.Ulaya kuna vuguvugu la 50/50,haki sawa,so kwa mwanaume anayependa future ya kizazi chake na utulivu,kuishi kwenye misingi ile ya asili lazima atatafuta mwanamke anaye mtii.Ndio maana siku za hivi karibuni wazungu wengi wanaoa Wanawake kilutoka Africa,Philippines, Thailand na baadhi ya nchi za America kusini, wanawake wa kizungu wanawaogopa na sidhani kama wanafuata hilo joto.

Pili wanaogopa talaka,ulaya talaka zinawafilisi sana wanaume na rate ya talaka ni kubwa sana,so kuescape hilo hukimbilia kwa wanawake ambao watawaheshimu, kuwatii na wasio na ujinga wa 50/50.Swala la joto sidhani kama kwao kipaumbele mf US kuna Black America wengi tu,ila bado hukimbilia Africa.
Divorce [emoji457]
 
Asee lakini wafilipino ni warembo sana.
 
Habari zenu.

Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la whites hasa wazungu kuwa na dada zetu blacks motomoto.

Ukipita kwa mitaa,tiktok,fukweni na nchi mbalimbali duniani ni whites na madada zetu weusi motomoto lakini wanawake weupe ni wachache wanaoishi na black men.

Kuna nini tena vichotara vinazaliwa kwa wingi sana.Tena hawa whites wanaonekana kupenda sana dada zetu very hot.

Miaka mingi baadae what will happen in African countries?

Blacks are very hot ndo kinachowavutia?
Sio tu kwa whitemen,hata white ladies nao sasa hivi wanapenda black men.
Sio waarabu,sio wachina,sio wafilipino,sio wazungu,sio wamarekani.
Sio wapemba.
Wadada wote hao wanaikubali ngozi nyeusi sana.
 
Kwa nchi za weupe, watoto wakike wamekua na makuzi ya 50/50 na ndio wanaamini hivyo.
Tofauti na nchi za kiafrika bado watoto wakike wana misingi ya utii.

Hivyo weupe wanapo kutana na blacks wakawaona ni watii kwa waume zao basi huvutiwa sana.

Kumbuka nature inamtaka mwanamke amtii mwanaume wake na mwanaume ampende mwanamke wake.
Sasa mbona hao hao black wa kike wanatuhumiwa kila leo kutowatii waume zao Africa? au hao black huwatii wazungu tu?
 
Wana wanawake weusi blacks wana asili ya utii kwa mtu mwenye pesa.
Wanawake wa kizungu wenzao ni pasua kichwa na kama unaishi na mwanaume mwenzako wamekuzwa kuwa juu ya mwanaume so wanaume wa kizungu wasiotaka stress ukimbilia wanawake weusi kwa sababu hizi.
1.Ni cheap ukishamnunulia tu gari na kumtoa out umefuga.
2.Sio stressed kama wa kizungu

Hakuna mwanaume atakae mwanamke wa kusumbuana nae
 
Ila pana soko kubwa sana kwa wanaume wa kiafrika kwa wanawake wa kizungu.
Sababu hizi
1.Wanaume wa kizungu ni wachache
2.Wengi hawapendi kuoa sababu sheria ya ndoa ulaya uwabana sana wanaume
3.Wengi hawana muda na mapenzi wapo bize na kazi
4.Wengi hawana nguvu za kiume sababu ya mitindo ya maisha na focus yao ipo zaidi kwenye kazi.
5.Wengi ni mashoga.
So wanaume wa kiafrika changamkieni soko la wanawake wa kizungu.
Wanawake wa kizungu wanapatikana beach, Zanzibar,au online dating site zipo tele.
Huko mbeleni race ya chotara itakuwa kubwa sana.
 
Back
Top Bottom