Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,226
- 1,757
Hakuna ukweli wowote kwenye thread yako. Inaonekana huijui dunia wewe.Habari zenu.
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la whites hasa wazungu kuwa na dada zetu blacks motomoto.
Ukipita kwa mitaa,tiktok,fukweni na nchi mbalimbali duniani ni whites na madada zetu weusi motomoto lakini wanawake weupe ni wachache wanaoishi na black men.
Kuna nini tena vichotara vinazaliwa kwa wingi sana.Tena hawa whites wanaonekana kupenda sana dada zetu very hot.
Miaka mingi baadae what will happen in African countries?
Blacks are very hot ndo kinachowavutia?
Sawa macho-mdiluko.Hakuna ukweli wowote kwenye thread yako. Inaonekana huijui dunia wewe.
Ushimen umenitoa matongotongo kwenye suala la 50/50 lakini pia kwenye heshima kwa mume nakupa big up umeongea kweli 300%Kwa nchi za weupe, watoto wakike wamekua na makuzi ya 50/50 na ndio wanaamini hivyo.
Tofauti na nchi za kiafrika bado watoto wakike wana misingi ya utii.
Hivyo weupe wanapo kutana na blacks wakawaona ni watii kwa waume zao basi huvutiwa sana.
Kumbuka nature inamtaka mwanamke amtii mwanaume wake na mwanaume ampende mwanamke wake.
Divorce [emoji457]Hao ulaya wamewapa jina la Passport Bros.Ulaya kuna vuguvugu la 50/50,haki sawa,so kwa mwanaume anayependa future ya kizazi chake na utulivu,kuishi kwenye misingi ile ya asili lazima atatafuta mwanamke anaye mtii.Ndio maana siku za hivi karibuni wazungu wengi wanaoa Wanawake kilutoka Africa,Philippines, Thailand na baadhi ya nchi za America kusini, wanawake wa kizungu wanawaogopa na sidhani kama wanafuata hilo joto.
Pili wanaogopa talaka,ulaya talaka zinawafilisi sana wanaume na rate ya talaka ni kubwa sana,so kuescape hilo hukimbilia kwa wanawake ambao watawaheshimu, kuwatii na wasio na ujinga wa 50/50.Swala la joto sidhani kama kwao kipaumbele mf US kuna Black America wengi tu,ila bado hukimbilia Africa.
Asee lakini wafilipino ni warembo sana.Hao ulaya wamewapa jina la Passport Bros.Ulaya kuna vuguvugu la 50/50,haki sawa,so kwa mwanaume anayependa future ya kizazi chake na utulivu,kuishi kwenye misingi ile ya asili lazima atatafuta mwanamke anaye mtii.Ndio maana siku za hivi karibuni wazungu wengi wanaoa Wanawake kilutoka Africa,Philippines, Thailand na baadhi ya nchi za America kusini, wanawake wa kizungu wanawaogopa na sidhani kama wanafuata hilo joto.
Pili wanaogopa talaka,ulaya talaka zinawafilisi sana wanaume na rate ya talaka ni kubwa sana,so kuescape hilo hukimbilia kwa wanawake ambao watawaheshimu, kuwatii na wasio na ujinga wa 50/50.Swala la joto sidhani kama kwao kipaumbele mf US kuna Black America wengi tu,ila bado hukimbilia Africa.
Sio tu kwa whitemen,hata white ladies nao sasa hivi wanapenda black men.Habari zenu.
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la whites hasa wazungu kuwa na dada zetu blacks motomoto.
Ukipita kwa mitaa,tiktok,fukweni na nchi mbalimbali duniani ni whites na madada zetu weusi motomoto lakini wanawake weupe ni wachache wanaoishi na black men.
Kuna nini tena vichotara vinazaliwa kwa wingi sana.Tena hawa whites wanaonekana kupenda sana dada zetu very hot.
Miaka mingi baadae what will happen in African countries?
Blacks are very hot ndo kinachowavutia?
Sasa mbona hao hao black wa kike wanatuhumiwa kila leo kutowatii waume zao Africa? au hao black huwatii wazungu tu?Kwa nchi za weupe, watoto wakike wamekua na makuzi ya 50/50 na ndio wanaamini hivyo.
Tofauti na nchi za kiafrika bado watoto wakike wana misingi ya utii.
Hivyo weupe wanapo kutana na blacks wakawaona ni watii kwa waume zao basi huvutiwa sana.
Kumbuka nature inamtaka mwanamke amtii mwanaume wake na mwanaume ampende mwanamke wake.
Wanaiga majuu Africa sio tabia yetu kutowatii waume zao.Sasa mbona hao hao black wa kike wanatuhumiwa kila leo kutowatii waume zao Africa? au hao black huwatii wazungu tu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sababu ni zile zile za wanaume wa dar kwenda kuoa vijijini mikoani au kuoa waliotokea mikoani na kuwaacha dada zao waliozaliwa na kukukia jijini
😂😂Naskia wana joto, sina uhakika mana Mm sijawahi kufanya mapenzi namtunzia mke wangu.
FafanuaWeupe wenzao hawatamanishi