Kwanini whites wanapenda sana hot African girls

Hahahaa umesema vyema sikupingi mkuu
 
Ni muda muafaka sasa wizo ufungwe kamba nikupeleke Dodoma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe ni umbwa sana😁
 
Jamaa wanakwambia siku za karibuni. The first wedding nimeshuhudia ulaya tu na Bongo ni back 2004, na jamaa zangu wanne wakafata the same year nao ni wazungu,
Wazungu wanapenda sana waafrika haswa wale wembamba, miaka mingi sana iliyopita.
Wanawake wengi wa kiafrica haswa nchi nje ya ulaya wako humble sana. Na hawana haraka. Uharaka tulionao waafrica hauwezi wapita wazungu,.
Wazungu wakorofi sana.
Ukikaa na mzungu, nimekua na marafiki wengi wakizungu, wenyewe wanasema EXOTIC APPEAL. They love something different from themselves but nature keeps them out of that sometimes kwasababu, ni nadra kufanya sex tourism au movement wakiwa katika umri mdogo wanakua hawajajipata.
Kingine wanaona culturally and historically seductive.
Na pia hawa jamaa wameopt sana out kwao haswa kwa Africa ni ile darker skin na carves.
Demu wa kiafrica annaweza kuwa mwwembamba lakini ana curves.
Yaani ndoa ya mzungu na mtu haswa wa asia au africa inakaa muda mrefu sana kuliko ndoa ya wazungu wenyewe.
Lastly, wanapenda sana wanawake wembamba ambayo ni nadra kwa nchi nyingi za Ulaya. Kupata loyal person alafu awe mwwembamba.
Ila mahusiano tena niseme kwa msisitizo hawa white american na european men ziko muda mrefu..
Hizi ni opinion yangu, na kwa jinsi navyosafiri na kukutana na wazungu wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…