Hahaha! Yaani huyu jamaa kamention TikTok kama source na reference aliyotumia kufikia such conclusion, TikTok iliyojaa hormonal Teenagers wanaofikiria sex 24 hours a day bila kujua hata maana ya neno ndoa. alafu humu kila mtu anakimbilia conclusion kwamba sababu hiyo phenomenon nindoa, 50/50 na utiifu au submission! Fuk no. Matter of fact, asilimia kubwa ya westerners hawajali kuhusu ndoa. Mostly sababu ya maisha makali na wanawake wamegeuza ndoa ajira. Heard of something called Child Support? Yeah!
Mostly sababu TikTok kama media nyingine za Hollywood, nao wanashabikia racial diversity. Kama una akili fupi hata ya kusoma patterns za mraba, triangle na rectangular basi utagundua Hollywood industry na mainstream media nyingine zote lazima utakuta Black Americans ndani yake. In every fuking thing. Ndio maana ya racial diversity.
Means TikTok algorithm nayo inapush watu aina hiyo hasa kama ni wanawake, kama vile YouTube. Na vilevile inategemea na content unazopitia. Na sio kwamba watu kutoka mabara tofauti walikuwa hawawi pamoja.
Also, African girls are just hot as fuk, especially wakati race nyingine zote wanawake wana viuno vipana, buttless na hips flat. Wetu ndio race pekee wenye thin waist, hips pana na cake ya kutosha. Whether it's genetics or not, it's a fuking fact that every man loves that shit.
Mimi mtu nina akili zangu siwezi tumia braindead, low attention span piece of shit kama TikTok. Let alone kuja na ridiculous conclusion kama hii.